Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,508
- 4,213
Kwakweli sijawahi kupata hasara katika biashara zangu kama hizi ninazopata tangu awamu hii iingie madarakani!
Leo mimefungua saluni kama kawaida siku ya jumapili wateja ni wengi.Haraka nikasema ninunue umeme niwahudumie lakini nimejaribu zaidi ya mara 10 imeshindikana!
Kwakweli pamoja na kuwa nilikuwa na mpiga vita Magufuli lakini hali hii sijawahi kuona! Kwakweli kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa! Kwa hali hii ni wazi kwamba Rais ameshindwa kazi na ameonyesha udhaifu kwa kushindwa kuwachukulia hatua wahusika! Akiwa kama kiongozi mkuu wa nchi jambo hili halikupaswa kujirudia tena kwa mara ya pili na hii inaonyesha alishindwa kuchukua hatua hapo awali na sasa ni vyema akajiuzulu tupate kiongozi mwingine!
Mbaya zaidi tunaoathirika ni sisi raia wanyonge.Kwa hali hii serikali imeshindwa kazi na haina uwezo wa kusimamia kazi zake hivyo tunaomba iondoke!!
Hawa ni wengine pia wamekumbwa na kadhia hii

Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo
Leo Jpili tangu asubuhi nimejaribu kununua umeme via Mpesa na Simbanking (CRDB) lakini hakuna kitu. Mpesa wamekata kabisa pesa lakini hakuna token iliyokuja.
www.jamiiforums.com