Uchaguzi 2020 Rais ajaye Zanzibar 2020-2025 lazima awe mkali. Je, wanaotajwa tajwa kuna mkali au anaandaliwa Mtanganyika kuvishwa Uzanzibar?

Kuna maeneo nimesikia sikia maneno ambayo yanahusu urais wa zanzibar ujao, maana Shein anamaliza mda wake,

Wanatajwa kina Vuai, kina Hussein Mwinyi, hata karume mdogo anataka kujitosa huko, kuna Makamu wa shein,

Lakin kwa aina ya rais wanayetaka awepo kule (Japo rais wa zanzibar hanaga impact) ila kwa sifa ya Ukali kama Magufuli sijamuona, maana wazanzibari ni wapole na wakarimu sana ,

Je kuna mtanganyika atapewa uzanzibari na kupitia CCM? Maana kisichowezekana kwingineko kwa CCM kinawezekana,

Ninauliza hivi watapewa mwingine kama Mwinyi alivyovikwa uzanzibari kwa muda?

Naishia hapa na uzi wetu huu tutaufufua siku ya uchaguzi zanzibar , akiwa amepitishwa Mtanzibari badala ya Mzanzibari
Biblia inasema heri wapole, maana hao..... Lakini wakali hawana nafasi katika mambo ya kiroho.
 
Karata zipo sehemu 2,
1.HUSSEIN A.H.MWINYI
2.PROF.MAKAME MBARAWA
Hapa ndipo atapatikana mrithi wa Shein kwa Zanzibar na Mrithi wa Magufuli(kama hatang'ang'ania kiti) kwa Bara.

60% Mbarawa Zanzibar 2020
40% Hussein Mwinyi Zanzibar 2020

Atakaye atakaye baki basi nikwasababu ya Tanganyika 2025.
 
Back
Top Bottom