Rais ajaye ni kiza kizito, Mnajimu atoa mwanga

MNAJIMU NA MTABIRI WA NYOTA AZITAJA SIFA ZA RAISI AJAYE

Akihojiwa katika kipindi cha Channel Ten, Mnajimu mashuhuri mtoto wa Shekhe Yahaya amesema kwa mujibu wa Sayansi za Nyota na Utabiri wa mambo yajayo, taifa mwaka huu litapata kiongozi mkuu Rais mwenye sifa zifuatazo;

1. Rais atakaye mrith JK ni Mweupe
2. Rais atakayemrith JK ana kichwa cha mviringo kisichokua na kisogo

Sifa nyingine amesema atazisema kwenye kipindi kijacho ila sifa hizi ndio kuu za awali..

Haya wewe unayempenda mgombea mweusi imekula kwako, akiwe mweupe ila ana UCHOGO imekula kwako. Raisi ajaye hana kisogo, ni kichwa cha duara na rangi nyeupe.

Je, katika wagombeam ni nani ana sifa hizo?

mbona anaingilia kazi za KAKAKUONA?
 
Yaani Wa tz bwana mnaakomaaa mpaka mapovu yana watoka kisa MTU katabili hapo Tatzo nn?nae skasema yake jamani.uchaguz Wa ccm mlikuwa mnapishana humu kila MTU mtabili mbona mnakuwa bongo lala au imewauzi kuambiwa sifa zamtu ambae hammtaki ?acheni unafiki
 
Hawa watabiri mi siwaamini walisema mwanzo mwenye dini mbili tofauti yaani mwislam upande na mkristo upande kwa jina sasa wameona umeota mbawa sasa wanatabiri tena sijui mweupe sijui kichwa Ni tabu tupu hakuna utabiri hapo si tunajua slaa ndio rais wetu
 
Huu nao ni ugaidi kama ugaidi mwingine

Endeleeni kupumbaza wajinga wajinga wenzenun kwa msaada wa majini.
 
Yaani Wa tz bwana mnaakomaaa mpaka mapovu yana watoka kisa MTU katabili hapo Tatzo nn?nae skasema yake jamani.uchaguz Wa ccm mlikuwa mnapishana humu kila MTU mtabikli mbona mnakuwa bongo lala au imewauzi kuambiwa sifa zamtu ambae hammtaki ?acheni unafiki

Unafiki anatakiwa aache huyo mnajimu feki.
Ebu muulize huyo ----- sarafu yetu lini itashuka au kupanda thaman.
 
Yani huyu mchawi ndio wa kutuchagulia rais?

Kuna mgombea wa CCM ambaye haendi kwa mganga !!? Huoni Albino kipindi cha uchaguzi inakuwa shida?
Acheni kujifaraguwa hapa wakati hayati sheh Yahaya alisema anemuongezea ulinzi Rais wa sasa mbona Ikulu haikukanusha ?
 
Labda alimuota huyu hapa.....

loading_afro_20130901094931.jpg
 
Sisi ni watu timamu hatiwezi kuchaguliwa kiongozi mkuu na mizimu na majini dhama za kina shee yahaya na kingunge zimefika ukingoni.
 
MNAJIMU NA MTABIRI WA NYOTA AZITAJA SIFA ZA RAISI AJAYE

Akihojiwa katika kipindi cha Channel Ten, Mnajimu mashuhuri mtoto wa Shekhe Yahaya amesema kwa mujibu wa Sayansi za Nyota na Utabiri wa mambo yajayo, taifa mwaka huu litapata kiongozi mkuu Rais mwenye sifa zifuatazo;

1. Rais atakaye mrith JK ni Mweupe
2. Rais atakayemrith JK ana kichwa cha mviringo kisichokua na kisogo

Sifa nyingine amesema atazisema kwenye kipindi kijacho ila sifa hizi ndio kuu za awali..

Haya wewe unayempenda mgombea mweusi imekula kwako, akiwe mweupe ila ana UCHOGO imekula kwako. Raisi ajaye hana kisogo, ni kichwa cha duara na rangi nyeupe.

Je, katika wagombeam ni nani ana sifa hizo?
Mnaoamini katika nguvu za giza mnamatatixo sana.
Si ajabu mtoa mada huwa awawinda albino kwa shida zake binafsi.
 
Ole wenu mnao amini wapiga ramli lakni mmesahau huyu mpuuzi aliwatabilia kuwa rais ajaye atakuwa amechanganya dini zote mbili
 
MNAJIMU NA MTABIRI WA NYOTA AZITAJA SIFA ZA RAISI AJAYE

Akihojiwa katika kipindi cha Channel Ten, Mnajimu mashuhuri mtoto wa Shekhe Yahaya amesema kwa mujibu wa Sayansi za Nyota na Utabiri wa mambo yajayo, taifa mwaka huu litapata kiongozi mkuu Rais mwenye sifa zifuatazo;

1. Rais atakaye mrith JK ni Mweupe
2. Rais atakayemrith JK ana kichwa cha mviringo kisichokua na kisogo

Sifa nyingine amesema atazisema kwenye kipindi kijacho ila sifa hizi ndio kuu za awali..

Haya wewe unayempenda mgombea mweusi imekula kwako, akiwe mweupe ila ana UCHOGO imekula kwako. Raisi ajaye hana kisogo, ni kichwa cha duara na rangi nyeupe.

Je, katika wagombeam ni nani ana sifa hizo?
Huyo mtabir tu, anabashiri lakin si Mungu...ana tofauti na wanajiita manabii wa kileo...
Hayo ya mbele anayajua Mungu tu
 
MNAJIMU NA MTABIRI WA NYOTA AZITAJA SIFA ZA RAISI AJAYE

Akihojiwa katika kipindi cha Channel Ten, Mnajimu mashuhuri mtoto wa Shekhe Yahaya amesema kwa mujibu wa Sayansi za Nyota na Utabiri wa mambo yajayo, taifa mwaka huu litapata kiongozi mkuu Rais mwenye sifa zifuatazo;

1. Rais atakaye mrith JK ni Mweupe
2. Rais atakayemrith JK ana kichwa cha mviringo kisichokua na kisogo

Sifa nyingine amesema atazisema kwenye kipindi kijacho ila sifa hizi ndio kuu za awali..

Haya wewe unayempenda mgombea mweusi imekula kwako, akiwe mweupe ila ana UCHOGO imekula kwako. Raisi ajaye hana kisogo, ni kichwa cha duara na rangi nyeupe.

Je, katika wagombeam ni nani ana sifa hizo?

hawa ndio watanzania wenye misimamo?
Ni heri mama yako angetoa mimba yako mpaka hvi sasa ungekuwa udongo au kinyesi kima ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom