Rais ajaye ni kiza kizito, Mnajimu atoa mwanga

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
901
907
MNAJIMU NA MTABIRI WA NYOTA AZITAJA SIFA ZA RAISI AJAYE

Akihojiwa katika kipindi cha Channel Ten, Mnajimu mashuhuri mtoto wa Shekhe Yahaya amesema kwa mujibu wa Sayansi za Nyota na Utabiri wa mambo yajayo, taifa mwaka huu litapata kiongozi mkuu Rais mwenye sifa zifuatazo;

1. Rais atakaye mrith JK ni Mweupe
2. Rais atakayemrith JK ana kichwa cha mviringo kisichokua na kisogo

Sifa nyingine amesema atazisema kwenye kipindi kijacho ila sifa hizi ndio kuu za awali..

Haya wewe unayempenda mgombea mweusi imekula kwako, akiwe mweupe ila ana UCHOGO imekula kwako. Raisi ajaye hana kisogo, ni kichwa cha duara na rangi nyeupe.

Je, katika wagombeam ni nani ana sifa hizo?
 
1428615535699.jpg
Sio huyuuu kweli
 
naona umemlipa cash.. umempa vidonge vyake

Hawa watu wamezidi kuja na ujinga hapa utafikiri watanzania hatuna akili. Nimechoka na mitazamo ya Kipu..zi. Tena angekua karibu ningemzaba kibao potelea mbali liwalo na liwe.
 
wanadamu wasiojua historia yao ndio wanabaki kwenye mawazo hayo.

kiukweli wafalme walichaguliwa kwa njia hiyo, kama hawa wenye kudai wanawasiliana na miungu wakisema miungu imemkaa mtu basi mtu huyo alikuwa amekataliwa.

kama hawa walisema mtu huyu amekubalika basi mtu huyo ndiye alikuwa anakuwa kiongozi.

lakini jiulizeni ni kitu gani kizuri kilitoka kwa watu hawa waliochaguliwa kwa njia hii?

lakini mwenye kutaka kujua uzuri wa habari za kutoka kwa viumbe hawa ambao watabiri wote wanapata taarifa kutoka kwao waulize mazeruzeru au albino watawaambia kama hawa viumbe wanaleta taarifa za kweli na za kusaidia au kuharibu jamii.

Maajabu!!!!??? taifa linachaguliwa raisi na mshirina. Alafu dume zima unakuja utuandikia hapa up...zi. Sijui umekula maarage gani????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom