Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

kama nimekosea basi ni kidogo sana, hebu nyoosha
Nimeona unatumia mlango wa uchumi katika dini kama sababu ya kuhalalisha hoja yako kwamba dini ni biashara, mfano nyerere aliwahi kusema "ikulu ni mahala patakatifu si pango la walanguzi" the mwisho wa kunukuu, kisha wewe ukaja na hoja kwamba jpm kakiuka usia wa baba wa taifa kwani anafanya suluhisho na wafanya biashara wa barick ikulu na hivyo kageuza ikulu ni pango la walanguzi
 
Back
Top Bottom