Elections 2010 Rais ajae atakaetufaa ni Dr Wilbrord Slaa Period kwa nini?

mkuu mbona mi naona atakuwa ni zitto kwani alienda na mkuu wa kaya kupata exposure kule sudan kusini..
 
Tuondolee hiyo takataka! Kama wewe unamkubali mwambie aje awe rais wa nyumbani kwako!
 
kwa kweli na kubaliana na mada hakika ina bidi tu shirikiane wote ku hakikisha tuna mpa nchi hii Dr Slaa coz ndio kiongozi muadilifu pekeee aliye bakia katita ki zazi hiki.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom