Rais ajae atakaetufaa ni Dr Wilbrord Slaa Period kwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais ajae atakaetufaa ni Dr Wilbrord Slaa Period kwa nini?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Joblube, Jul 12, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  1. Ni yeye pekee mwenye uchungu wa kweli na umasikini wa Watanzania.
  2. Ni yeye pekee mwenye kuyaelewa matatizo na umasikini wetu unasababishwa na nini.
  3. Ni yeye pekee asiye na urafiki na wala rushwa hata ukimtazama usoni anaonyesha anavyoichukia rushwa.
  4. Ni mkweli siku zote na ameusimamia ukweli
  5. Ni yeye pekee anayechukiwa sana na chama cha magamba kutokana na umahiri wake wa kujenga haja.
  6. Ni yeye pekee mwenye uwezo wa kuawashughulikia wenye magamba.
  7. Ni mzalendo aliyejipambanua kuwa na mazalendo kwa nchi yake.
  8. Ni yeye pekee anayeungwa mkona vijana na wasomi wengi
  9. Ni mchapa kazi si kilaza
  10. Ni mtu anayetafuta maarifa kwa biidii zote hasa kwa kujisomea kwa bidii kubwa
  Mheshimiwa Dr Slaa utakuwa rais wa nchi hii kwa mapenzi ya Mungu pamoja na mizengwe yote unayoundiwa na utakayo undiwa usihofu Mungu hukaa upande wa wenye haki. Nasema haya kwa sababu dalili zimeshatimia kuwa rais wetu ajae hata mama yangu kule kijijini anakuunga mkono kwa sasa pamoja na kuwa hajui siasa. Utakapo kuwa rais jishughulishe na mambo ya kuondoa umaskini wa kujitakia kwa Watanzania.

  TANZANIA NI NCHI YANGU SLAA NI RAIS WANGU ALIYE MOYONI
   
 2. o

  owigo Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa kweli yani hili wala haliitaji mjadala wala fikra kubwa kuliona kwa mzalendo yoyote wa ukweli kwa nchi yetu ya tanzania, dr. Slaa hana wa kufananisha naye kwa sasa.
   
 3. mtahengerwa

  mtahengerwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Unapima uchungu kwa kutumia kifaa gani hicho?.au unapima kwa kusikiliza maigizo yake jukwaani?.acha uzushi kikwete ndiye mwenye uchungu na nchi hii na watanzania wenye akili timamu tunalijua hilo.pia rais ajaye lazima atoke ccm labda slaa akirudi ccm lakini ausahau urais wa nchi hii.arudi jimboni kwao karatu.
   
 4. J

  Joblube JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sijaona kipimo ulichotumia wewe. Kama bado unajidanganya kuwa rais lazima atoke CCM umepotea lakini kwa wizi inawezekana hayo uliosema lakini halafu ndugu yangu wenye akili tulishaondoka CCM mmebaki nyie MABWEGE.
   
 5. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa mkuu, kwa sasa hata ndani ya CHADEMA hakuna wa kumfananisha na huyu mzee,nilibahatika kumsikiliza Dr. Kitila Mkumbo pale Mabibo Makuburi wakati wa ufunguzi wa tawi la wanachama wa CHADEMA vyuo vikuu, alizungumza maneno machache sana lakini yalikuwa na ujumbe mkubwa sana kwa Wanafunzi na watu waliohudhuria pale.Alise'MIMI SIJAWAHI KUWA KARIBU NA MWALIMU NYERERE NA KUMZOEA SANA LAKINI NILIBAHATIKA KUKUTANA NAE MARA MOJA, KWA KIASI KIKUBWA MAISHA NA SIASA ZAKE NIMEZISOMA KWENYE VITABU NA VYANZO VINGINE, NI MTU NINAEAMINI ALIKUWA NA BUSARA NAMBA MOJA KWANGU.LAKINI NINAAWAMBIA YAKUWA, BAADA YA MWALIMU KWANGU MIMI NI MZEE HUYU HAPA(DR.SLAA), HUYU MZEE ANABUSARA SANA' Hivyo mwandishi wa thread hii nakushukuru sana kulifahamu hili, tujiandae kumpa nchi kwa sababu ameonyesha anaweza kupambana na Magamba, anadhamira ya dhati ya kutuondolea umasikini japo si kwa siku moja ila kwa mipango thabiti aliyonayo ambayo viongozi wetu waliomo madarakani hawani. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.
   
 6. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  weledi wake katika kusimamia tunu za taifa hili hauna shaka. nami natamani kuona tanzania mpya ikiongozwa na mpambanaji wa kweli. DR. SLAA. tunakuamini, tutakupa ushurikiano katika majukumu yako ya urahisi hapo novemba 2015.
   
 7. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Rais ajae anatakiwa awe Dk Slaa.

  Huyo anaejengwa na JK ili aje kumlinda apumzike kwanza.

  Hatutaki msaliti, anatusaliti vijana na kushirikiana na fisadi, kumbe ndo maana alipinga CDM kususia hotuba ya JK
   
 8. n

  nchasi JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 525
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Wewe ni gamba ambalo limepigwa upofu huwezi kusoma majira ya nucta. Ukweli unabaki palepale hata kama unajifanya unaufumbia macho ukweli lakini moyoni mwako nafsi inakusuta ila si kosa lako ni makusudi yake MAULANA ILI NENO LITIMIE. Tanzania imekaribia kukomboka.
   
 9. k

  kiloni JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  HATA WASANII WENZAKO WANAJUA KUPIMA. LAKINI WAKO DAIMA MENO NJE KAMA YULE MNYAMA MLINZI WA NYUMBA AKITAFUNA MFUPA.
  SIKILIZA "I have a smiling face but firm in action maneno "kama haya tutawashauri wala rushwa waache" "wauza madawa ninawajua"
  I swear in the name of almighty the person with the seat now is the weakest leader of the century.
  Tunaomba ampishe hata Dr wa ukweli kwa miezi sita tu inatosha.
   
 10. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatuwezi kukubali Tanzania iongozwe na Rais Mzinzi tusije pata adhabu ya Mungu,kwani Mungu hakilizi maombi ya Wenye dhambi,Slaa ni kahaba wa Kiume! Atabaki kuwa Rais wa Wa Moyoni wa wana Magwanda tu!
   
 11. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  S-Shujaa
  L-Lazima
  A-Atatimiza
  A-Ahadi.
   
 12. i

  in and out Member

  #12
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatuwezi kuruhusu nchi yetu itawaliwe na rais mzinzi, mropokaji, mlafi, mbishi,, na mbaguzi.
   
 13. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kama ni kiongozi mzinzi basi hujui na wala hukuwahi kujua tumeongozwa na wazinzi kiasi gani, nchi yetu imepata balaa kwa kuongozwa na wazinzi uzuri tu nikwamba wananchi hilo hawalijali, kama Dr akifanikiwa kutawala hata walinzi watapumzika na kazi za kulinda/kuinjinia wakuu kufanya uzinzi
   
 14. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kikwete ana uchungu na nchi hii? kwa safari zake za kitalii karibia kila siku nchi za nje? Hakuna makosa yaliyowahi kufanyika katika nchi hii ya Tanzania kama Kikwete kuwa raisi. Kila kukicha afadhali ya jana.
   
 15. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Annamario Fabio(slaa),Rose Kamili(slaa),Josephine Mshumbusi(slaa) wote hawa Padri Mstaafu amewavuvuzela.....!
   
 16. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mzinzi ni Dr. Slaa au KJ? Fikiria kabla ya kuropoka
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,139
  Trophy Points: 280
  Mbona sifa zake zingine hukuziweka? zile za maadili?
   
 18. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni Padri Mstaafu Mzinzi!
   
 19. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ...Ukiendelea kufikiri kwa kutumia moyo badala ya ubongo, katu hautaacha kuota ndoto za mchana, na bahati mbaya sana...utakaposhtuka utakutana na uhalisia ulio kinyume kabisa na ndoto zako...
   
 20. m

  malimamalima Member

  #20
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa ni chaguo la wote haswa vijana.
   
Loading...