Rais aboud jumbe ulituwezesha kuona mambo ya ulimwengu live asante kwa kututhamini

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=WmxT21uFRwM"]YouTube - we are the world[/ame]
Hata kwa wale tuliokuwa hatuna uwezo alituwezesha kutuwekea TV za rangi kila kwenye tawi la ASP na baadhi yetu kutoka mitaa ya karibu tulikuwa tunakushanyika malindi asante mzee wetu ,wema hauozi binafsi nakumbuka hii nyimbo nikiwa mtoto mdogo nawezangu tulifika kuangalia jinsi ya hawa waimbaji wakiimba kwa ajili kuchangia pesa za chakula kwa nchi ya ethiopia au eletria sikumbuki hasa ilikuwa nchi gani ilikuwa na ukame kwa wakati ule .maziko ya jackson yamenikumbusha video hii.
 
Last edited:
Back
Top Bottom