Mahitaji
1)Unga 12 tablespoon..
2)mayai 6
3)siagi 1/4 kg (punguza kidogo ili keki isiwe na mafuta mengi).
4)sukari 1/4 kg..
5)rangi (food cloring) upendazo..
6)baking powder 1 teaspoon...
7)vanilla powder au flavor upendayo..
Namna ya kutaarisha
1)weka kwenye bakuli sukari na siagi....saga kwa handmixer hadi vilainike.
2)add mayai...changanya vizuri
3)katika bakuli lengine changanya unga na baking powder..
4)weka unga kidogo kidogo kwenye mchanganyiko wa sukari na siagi na changanya vizuri hadi umalizike..
5)weka flavor upendayo katika mchanganyiko wako....
6)gawanya mchanganyiko wako kutokana na idadi ya rangi ulizochagua mfano (pink,yellow,green,purple n.k)
7 ) mimina kwenye trey rangi moja badala ya nyengine kama ufanyavo kwenye zebra cake...
8)weka kwenye oven 300°-350 hadi keki iwive vizuri....
Keki tayari kuliwa..