Raila"We have a tallying centre in the clouds"sasa najiuliza hao wamizi walifikaje huko ?

Hizi siasa za kibabe sijui zitaisha lini kwetu.

Watu wanaviziana namna ya kuibiana kura mikakati ya kuziendeleza nchi kapuni. Wakishaingia madarakani ni muda wa return miaka 4 ishaisha hapo nchi inabaki hola.
 
Magu hajamsaidia shosti wake! Naona jahazi linazama. Lowasa kampigia kampeni Uhuru ya nguvu. Sasa Uhuru huyooooo anadaka nchi tena.
 
Back
Top Bottom