Elezq vizuri mkuu. Walim- castrate kwanini na shimo la thewa ni wapi?Raila kachanganyikiwa.. Toka wam castrate kule shimo la thewa hajawahi kuwa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nn hicho fafanua kidogo,,,,,!Yuko sawa. Kuna kitu inaitwa Cloud Computing
Ww jamaa unaona mbali sana nahisi unatumia darubini ....!Magu hajamsaidia shosti wake! Naona jahazi linazama. Lowasa kampigia kampeni Uhuru ya nguvu. Sasa Uhuru huyooooo anadaka nchi tena.
Hilo ndio tatizo, Raila hajawahi kushindwa, siku zote analizwa, na kesho analizwa tena.Uhuru anashinda uchanguzi hata iweje...