Raila Odinga: Tutafanya maandamano nchi nzima siku ya marudio ya uchaguzi mkuu

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,297
2,000
Kiongozi wa muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya yaani NASA Mh Raila Odinga ameitisha maandamano nchi nzima wakati wa siku ya marudio ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 26.11.2017
Aidha, Mh Raila Odinga amesema wanafanya hivyo kwa kuwa hawana imani na tume ya uchaguzi nchini humo hali hiyo pia imepelekea mmoja wa makamishna wa tume hiyo kuacha kazi na kukimbilia nchini Marekani
 
leiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
624
1,000
Huyu jamaa bhana eti tutafanya wakati yupo zake majuu. Sema watafanya sio tuta wakati hujui maumivu ya kipigo cha GSU kule Homabay, Kisumu, Migori na Kibera.
 
chipaka.com

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,885
2,000
Kiongozi wa muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya yaani NASA Mh Raila Odinga ameitisha maandamano nchi nzima wakati wa siku ya marudio ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 26.11.2017
Aidha, Mh Raila Odinga amesema wanafanya hivyo kwa kuwa hawana imani na tume ya uchaguzi nchini humo hali hiyo pia imepelekea mmoja wa makamishna wa tume hiyo kuacha kazi na kukimbilia nchini Marekani
Anataka kurudisha nchi kwa wazungu
 
logframe

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,007
2,000
RAO anachofanya ni kuwafanya watu waumie kwa tamaa zao za vyeo...kuna maisha pia nje na uraisi...mpaka watoto wanapigwa risasi wanapoteza uhai yupo UK wenzake wanazika na machozi...anyway naona novel ya " A grain of wheat " aliisoma vizuri ila namshauri awe "front line" where manhood is tested .
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Kiongozi wa muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya yaani NASA Mh Raila Odinga ameitisha maandamano nchi nzima wakati wa siku ya marudio ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 26.11.2017
Aidha, Mh Raila Odinga amesema wanafanya hivyo kwa kuwa hawana imani na tume ya uchaguzi nchini humo hali hiyo pia imepelekea mmoja wa makamishna wa tume hiyo kuacha kazi na kukimbilia nchini Marekani

Who cares?
Hata wafanye maandamano mpaka wajambe, kimpango wao!
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
6,099
2,000
RAO anachofanya ni kuwafanya watu waumie kwa tamaa zao za vyeo...kuna maisha pia nje na uraisi...mpaka watoto wanapigwa risasi wanapoteza uhai yupo UK wenzake wanazika na machozi...anyway naona novel ya " A grain of wheat " aliisoma vizuri ila namshauri awe "front line" where manhood is tested .
Literature lives nilisoma zamani sana hizo kazi ulizo taja hapo lakini nimezikumbuka. However hata hao waandishi wakipewa uongozi wanafanya yale yale rejea Almando Guebuza was msumbiji.
 
logframe

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,007
2,000
Literature lives nilisoma zamani sana hizo kazi ulizo taja hapo lakini nimezikumbuka. However hata hao waandishi wakipewa uongozi wanafanya yale yale rejea Almando Guebuza was msumbiji.
Yeah, literature doesn't come from a vacuum, its real life experience..kwa kweli ukiwa nje ya "game " yeyote unaweza dhani ni rahisi kuicheza ila ukiwa ndani ni rahisi kuharibu...RAO na President Uhuru wazitafakari njia zao kwani Kenya ni zaidi ya wao na interest zao..waangalie pia maskini ( nyasi) anaeumia pale fahari wawili wapambanapo
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,912
2,000
Na wakianza kupigania tunafunga mpaka Pale sirari tutaruhusu wanawake tu kuingia kwetu wanaume wabaki huko huko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom