Raila Odinga Is Raising Dangerous Political Heat

SirAlfred006

JF-Expert Member
Sep 21, 2020
509
1,208
With a year to General Elections in Kenya, a visitor will be surprised at the political heat rising each day as if the people are going to the polls in 3 weeks time.

Raila Odinga is cruising on the land at full throttle...!
IMG_20210804_204412.jpg
 
Ongeza kanyama jombaa, unamaanishaje? Nimeambulia patupu ila hiyo picha imenichekesha sana. Umeitoa wapi? :D
Hapo RAO amevalia kofia za rangi za vyama vyote ambavyo vilimezwa na muungano wake, almaarufu NASA. Wiper ya Kalonzo, ODM yake, FORD ya Wetangula na akamalizia na ANC ya Mudavadi.

Wote hao aliwazingua wakaungana naye. Kisha akawaacha nje wakijikunyata na kuteswa na kibaridi kikali, tena zaidi ya kipupwe. :D
 
Raila is a useless policitian! Apumzike sasa amechosha watu! A smart politician must know the time to quit politics! He has expired!
 
Back
Top Bottom