Raila odinga invited personally by obama to tanzania for a private meeting- to use a private jet!

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
former prime minister of Kenya Mr. Raila Odinga has been invited to Tanzania to meet with US President Barrack Obaman who will visit in two week's time.
Credible sources said Raila Odinga was invited personally by Obama on his way to South Africa last week where he was attending world class democracy forum.
Raila who is father of democracy in Kenya,will travel aboard a private jet hired by US State department to ferry eminent African personalities including the former UN Secretary General Kofi Annan to Tanzania where Obama is expected to address "African Democrats"
DAILY POST: RAILA ODINGA invited personally by OBAMA to Tanzania for a meeting –To use a PRIVATE JET
 
Si angemualikia Marekani huko huko!
Umeona eeh!...Wana lao jambo hawa. Hii yote kutongezea maadui ...kusini magharibi Malawi, magharibi M23 na sasa kama na Rwanda hivi, Mashariki visiwani...ilikuwa imebaki Kaskazini ambayo ni kenya.
 
Assumption ni nyingi mno ila watakachoongea wanakijua wawili hao japo marekani haiaminiki hata Kidogo kwao wao wanachotanguliza mbele ni maslahi yao na Taifa lao
Tusitegemee makubwa sisi kama watz kutokana na ziara hiyo zaidi ya usumbufu mwingi wa network kugoma kufanya kazi na kero za kuzuiwa kupita barabara hii au ile
 
Sio vibaya kualikwa,hapo hakuna cha mpoza ila wanamkubali kwa michango yake kubigania democrasia nchini kenya..he is a true hero nchini kwao..isipokuwa makabila mawili dhulumati ndio wanampiga vita.
 
I said here before that such visits are a disruption of the common man's liberties and so long as there is nothing tangible to be brought by the visit there is little to smile about other than short-lived bravado.
 
Chuki inazidi kwa Ruto maana yeye hajaalikwa hata kidogo
Ruto hawezi kuja kwani ile ndege ya kukodi akifanyiwa massages imeshitukiwa sasa atakuja na ile helicopter ya Uhuru ambayo haina hata kitanda na wahudumu wa kumfanyia massages lol
 
Sio vibaya kualikwa,hapo hakuna cha mpoza ila wanamkubali kwa michango yake kubigania democrasia nchini kenya..he is a true hero nchini kwao..isipokuwa makabila mawili dhulumati ndio wanampiga vita.

kwanini ruto anapotumia jet kusafiri kuwapa matumaini wenye njaa kunakuwa na minunguniko, ilhali mtu anapotumia jet kwenda safari za kifahari hakuna minunguniko?
 
tujaribu tujue ni nn iko kwenye ratiba ya mazungumzo ya Obama na raila, inapaswa tujue..kama haki ya mashoga imo kwenye jedwali au maslahi ya kabila lake la asili, kwanini kupoteza mafuta na majet, mawasiliano ya mobile inatosha. eish for conscience sake liberties of such a nature are a letdown to the common man struggling to get by the day..

This is really low coming from a Kenyan of your stature. Why the gay bashing?
 
former prime minister of Kenya Mr. Raila Odinga has been invited to Tanzania to meet with US President Barrack Obaman who will visit in two week's time.
Credible sources said Raila Odinga was invited personally by Obama on his way to South Africa last week where he was attending world class democracy forum.
Raila who is father of democracy in Kenya,will travel aboard a private jet hired by US State department to ferry eminent African personalities including the former UN Secretary General Kofi Annan to Tanzania where Obama is expected to address "African Democrats"
DAILY POST: RAILA ODINGA invited personally by OBAMA to Tanzania for a meeting –To use a PRIVATE JET

How credible is the Daily Post? Why are these news not in the mainstream newspapers?
 
Sasa akina Kagame na Museveni na ma group yao sijui emu two five sijui three :) (watajaza wenyewe) wawe tayari kuisikia kwa message ya Obama. Baada ya hapo ndio tutaona kama bado Kagame anapinga ushauri wa mazungumzo na Wahutu au la? You guys stay tuned...Change is coming:)
 
I said here before that such visits are a disruption of the common man's liberties and so long as there is nothing tangible to be brought by the visit there is little to smile about other than short-lived bravado.
Wakenya wivu unawasumbua, shauri yenyu sasa!
 
Sasa 'Wafungwa' watarajiwa wataalikwaje? Chezea ICC weye? ICC ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliomwalika Jaluo! Huo mwaliko wa RAO peke yake ni 'Salamu' tosha kwa akina UhuRuto.

Sorry for asking, but how does this invitation really benefit Raila? Is it not like just a recognition by a president of a most powerful state? Or perhaps this is one of the consequences of the choices we made as told earlier? If it is, does the common man even notice?
 
Back
Top Bottom