Raila Odinga ateuliwe kuwa msuluhishi wa mgogoro baina ya CAG na Spika?

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Ndo ivo. Watu wawili wagombanao hawewezi kupatana pasipo ya kuwa na msuluhishi.
Ningetamani kuifanya hiyo kazi mimi lakini kutokana na umri wangu kuwa mdogo, ningependekeza Mh Raila Odinga ateuliwe kuwa msuluhishi wa mgogoro ulioibuka baina ya ofisi hizi mbili ili maisha mengine yaendelee...
 
Hapo hamna cha kusuluhisho sema spika hataku kuheshimu katiba......wapi na wapi spiki kugombana CAG Ofisi mbili huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raila tayari anaupande wake hapa Tanzania,hivyo hakuna suluhisho la haki hapo

Wa sukumaland
 
Ndo ivo. Watu wawili wagombanao hawewezi kupatana pasipo ya kuwa na msuluhishi.
Ningetamani kuifanya hiyo kazi mimi lakini kutokana na umri wangu kuwa mdogo, ningependekeza Mh Raila Odinga ateuliwe kuwa msuluhishi wa mgogoro ulioibuka baina ya ofisi hizi mbili ili maisha mengine yaendelee...
Wadhifa wako mpaka kumteua Odinga?

Afu Kwann Odinga?

Kwani Mzee wa bakora na si ei jii wagombana?

Km wamegombana wanagombea nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Raila Odinga?? Huyu anayeshinda chattle Magufuli anapokuwa mapumziko au kuna Odinga wa wa USA mkuu??
 
Ndo ivo. Watu wawili wagombanao hawewezi kupatana pasipo ya kuwa na msuluhishi.
Ningetamani kuifanya hiyo kazi mimi lakini kutokana na umri wangu kuwa mdogo, ningependekeza Mh Raila Odinga ateuliwe kuwa msuluhishi wa mgogoro ulioibuka baina ya ofisi hizi mbili ili maisha mengine yaendelee...
Kwanza nikusasahishe hakuna mgogoro Kati ya Supika na CAG, ila kuna mgogoro wa Supika kwa CAG.

Hivyo wazo lako la Odinga liwe kumsuluhisha Supika kwa CAG na sio kuwa suluhisha sijui umenielewa???

I mean I stand with CAG as CAG is right on his capacity

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom