Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,294
- 36,318
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa Uhuru Kenyatta huyoPicha hii sijaelewa inamaanisha nini?.
Chezea wanasiasa wewe, Mwanasiasa akikwambia sasa hivi ni usiku, anamaanisha mchana na akikwambia mchana, anamaanisha usiku. JK alishamaliza kuwa ......Akili za kuambiwa...........
so huyu mama yupo pale kulainisha mkate wa mzee sio!Chezea wanasiasa wewe, Mwanasiasa akikwambia sasa hivi ni usiku, anamaanisha mchana na akikwambia mchana, anamaanisha usiku. JK alishamaliza kuwa ......Akili za kuambiwa...........
hiyo ni edit maana hiyo kicha ni kubwa sana kukaa hapo
Hahahahaha!!! ataanalia na kusema hiiiiii!!!Kama Mama yetu Janeth aweke pozi hili na EL....