Raila Odinga, aliyekataa kupokea simu si rafiki yako Magufuli bali ni Rais Magufuli

usilinganishe misimamo ya Tanzania ya akili kubwa ya Mwalimu JKN na awamu nyingine zote zilizofuata (hususani hii awamu ya 5 ambayo literally ni shambolic to say the least).

sidhani kama awamu hii inajua nchi hii inachokihitaji na namna ya kukipata.

nilishasema huko nyuma na ninarudia tena... Tanzania inazihitaji zaidi nchi jirani yake kuliko kinyume chake.
Eti ulishasema huko nyuma... kwani wewe ni Nani? Kama una maono ya kipumbavu nani akae akusikilize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ondinga nayeye si_mstahafu. ..itakuwa anawashwa washwa tu. sio bure ..yeye mambo ya tz yana muhusu nini. ..

mpaka dakika hii wote kwa pamoja tunashuhudia kuwa maamuzi ya magufuli kutoiweka nchi katika kizuizi yapo sahihi kabisa kwa wenye akili wameliona hilo...

ndio maana hata huko USA na baadhi ya nchi za ulaya wameshaanza kufikirikia kiachana na lockdown.... hizi nchi za Africa zimekuwa ni bendera fuata upepo wanafuata kila wanacho ambiwa na mabwana pasipo kujali kwamba hayo wanayo yafanya yatakuwa na maslahi kwa wananchi wao ama la. ..... hizo nchi binafsi nazifananisha na mwanamke malaya zingekuwa nchi zao ni jinsia KE Sasa hivi zingeshakuwa na mimba..... period
Too early to make such conclusions.

Brazil nao walikuwa na misimamo kama wetu lakini leo mortuary zimejaa mpaka maiti zinawekwa kwenye macorridor.

But against all odds he might be right....!!
 
Hata wale ambao hawakua na mtazamo kama wetu au wa Brazil nadhani umeona kwamba wamefikwa na makubwa zaidi kuliko hata sisi na hao wabrazil mwenyewe

Italia .UK.na USA . wote waliziweka nchi zao lockdown but still hawakuweza kuzuia vifo .... So hiyo lockdown haina mantiki yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RAILA KAMSHAURI MAGUFULI YUPI?

Raila Odinga anadai amempigia Rais wetu Simu kumshauri kuhusu Corona. Anavyodai sijui hajampata kwenye Simu.....

Kitu ambacho Raila anatakiwa kukifahamu ni kwamba Kuna Magufuli wawili, Mmoja ni Rafiki yake ambaye wanaweza kujadiliana naye chochote kwa wakati wowote, Magufuli wa Pili ni Rais wa Tanzania, huyu si mtu bali ni taasisi yenye kila aina ya wataalamu na washauri.

Issue ya Corona si issue anayeishughulikia Magufuli ambaye ni Rafiki yake Raila Bali ni Magufuli ambaye ni Taasisi. Raila anatakiwa atofautishe haya mawili kwanza, aliyepaswa kumpigia Simu Magufuli ambaye ni Taasisi ni Uhuru Kenyata Hawa wapo level Moja.

Kitendo Cha Raila kuvuka mipaka na kuja kushauri Tanzania ni kutuaona kuwa sisi vyombo vyetu haviwezi kutusimamia Wala hatuwezi kujisimamia.

Tanzania imekuwa nchi yenye misimamo yake toka Zamani, tumejirisk kwa mengi hata la kutafutia wengine Uhuru tulijirisk sanaa... Tanzania yenyewe imesema mabeberu yasitukopeshe badala yake watusamehe madeni, Kenya wao wameshaenda kukopa. Hii ni misimamo miwili tofauti....

Tusimame pamoja, Hakuna mtu njee ya Tanzania anayeweza kuipenda Tanzania kuliko sisi wenyewe. Pamoja na Mambo Mengine watanzania tujiamini, sisi sio Goi Goi wa kiwango hicho.

Ukishakuwa Rais hata marafiki zako uliokuwa nao mwanzo huwezi kuongea nao hovyo hovyo, kila kitu kinafanyiwa monitoring, hata hiyo simu aliyopiga Raila inawezekana sio hiyo aliyonayo Sasa. Tumerahisisha mno taasisi ya Urais .... Si rahisi Kama tunavyofikiria.
Hivi Kenya kuna nini pale? Naona Mama kaenda kurudi na mibarakoa kibao wakati Magu hakupokea ata simu ya rafiki yake Odinga
 
Ukiongeza uchumi wa rwanda, uganda, tz na burundi pamoja hautoshei wa kenya. Kuna wawekezaji 500 kutoka kenya wanaoleta usd1.5B. Mchezo usiuchezee mjukuu wangu
 
Laiti angesikiliza angeweza kuwa hai leo:

"Issue ya Corona si issue anayeishughulikia Magufuli ambaye ni Rafiki yake Raila Bali ni Magufuli ambaye ni Taasisi. Raila anatakiwa atofautishe haya mawili kwanza, aliyepaswa kumpigia Simu Magufuli ambaye ni Taasisi ni Uhuru Kenyata Hawa wapo level Moja."

Kweli akili nyingi huondoa maarifa.
 
RAILA KAMSHAURI MAGUFULI YUPI?

Raila Odinga anadai amempigia Rais wetu Simu kumshauri kuhusu Corona. Anavyodai sijui hajampata kwenye Simu.....

Kitu ambacho Raila anatakiwa kukifahamu ni kwamba Kuna Magufuli wawili, Mmoja ni Rafiki yake ambaye wanaweza kujadiliana naye chochote kwa wakati wowote, Magufuli wa Pili ni Rais wa Tanzania, huyu si mtu bali ni taasisi yenye kila aina ya wataalamu na washauri.

Issue ya Corona si issue anayeishughulikia Magufuli ambaye ni Rafiki yake Raila Bali ni Magufuli ambaye ni Taasisi. Raila anatakiwa atofautishe haya mawili kwanza, aliyepaswa kumpigia Simu Magufuli ambaye ni Taasisi ni Uhuru Kenyata Hawa wapo level Moja.

Kitendo Cha Raila kuvuka mipaka na kuja kushauri Tanzania ni kutuaona kuwa sisi vyombo vyetu haviwezi kutusimamia Wala hatuwezi kujisimamia.

Tanzania imekuwa nchi yenye misimamo yake toka Zamani, tumejirisk kwa mengi hata la kutafutia wengine Uhuru tulijirisk sanaa... Tanzania yenyewe imesema mabeberu yasitukopeshe badala yake watusamehe madeni, Kenya wao wameshaenda kukopa. Hii ni misimamo miwili tofauti....

Tusimame pamoja, Hakuna mtu njee ya Tanzania anayeweza kuipenda Tanzania kuliko sisi wenyewe. Pamoja na Mambo Mengine watanzania tujiamini, sisi sio Goi Goi wa kiwango hicho.

Ukishakuwa Rais hata marafiki zako uliokuwa nao mwanzo huwezi kuongea nao hovyo hovyo, kila kitu kinafanyiwa monitoring, hata hiyo simu aliyopiga Raila inawezekana sio hiyo aliyonayo Sasa. Tumerahisisha mno taasisi ya Urais .... Si rahisi Kama tunavyofikiria.
Naona urafiki uliishia hapo maana hata kwenye shughuli ya kumuaga pale Dodoma na Chato Raila hakuonekana
 
Ukiongeza uchumi wa rwanda, uganda, tz na burundi pamoja hautoshei wa kenya. Kuna wawekezaji 500 kutoka kenya wanaoleta usd1.5B. Mchezo usiuchezee mjukuu wangu
Uchumi wa kwenye makaratasi uo..!! Kwa watu wenu aoao wakija Tanzania wanaona bora Tanzania maisha rahisi kuliko Kenya.

Tanzania unaweza kuja mgeni na huna kitu ila mwisho wa siku ukatoboa ila sio Kenya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom