#COVID19 Raila Odinga akutwa na COVID-19

Baba when your Happy the Whole Africa is happy, when your are unwell the whole Africa feels the same.
Please get well soon,
RAO
Agwambo
Baba
Mzee ya Handshake
Whe we're celebrating 3years of handshake Kenya needs you baba.
 
We ongea tu Mkuu. Na hili janga halipendagi dharau na utadhani lina masikio..
Covid 19 ndiyo unaona ni ugonjwa pekee unaouwa? Usiombe ukamwona mgonjwa wa Ebola unaweza kimbia au Ukimwi wa miaka ya awali. Mafua nayo yakutisha mtu dawa yake mazoezi tu na kula vyakula vya kuongeza kinga tu labda uwe na magonjwa nyemerezi au uwe mzee sana.
 
Sawa.
 
Back
Top Bottom