Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Moja ya matatizo tunayoyapata katika mageuzi yetu ni upotoshaji wa watu kama Raila Amollo Odinga.
Alipohojiwa mageuzi ya jeshi la polisi ili kuwatumikia wananchi badala ya wanasiasa ya mwaka 2008 alidai bado ni la kikoloni siyo kama la Tanzania ambalo linahudumia wananchi
Huu ni upotoshaji wa khali ya juu.
Mageuzi ya jeshi la polisi la Kenya ya 2008 yalimnyang'anya Rais wa Kenya madaraka ya kuteua uongozi wa jeshi tajwa.
Ni mamlaka ya uteuzi wa uongozi wa jeshi la polisi ndiyo unampa Rais ubavu wa kulitumia jeshi la polisi atakavyo na raia kunyanyaswa.
Jeshi letu huteuliwa na Rais na ndiyo maana makamanda kulinda tonge hukiuka haki zetu nyingi za kikatiba na kisheria ili kumlinda Rais na wateule wake badala ya kuwalinda wananchi.
Raila Amollo Odinga Marekani jana