Raila Odinga adai Marekani jeshi letu la polisi ni la wananchi lakini la Kenya la kikoloni....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Moja ya matatizo tunayoyapata katika mageuzi yetu ni upotoshaji wa watu kama Raila Amollo Odinga.

Alipohojiwa mageuzi ya jeshi la polisi ili kuwatumikia wananchi badala ya wanasiasa ya mwaka 2008 alidai bado ni la kikoloni siyo kama la Tanzania ambalo linahudumia wananchi

Huu ni upotoshaji wa khali ya juu.

Mageuzi ya jeshi la polisi la Kenya ya 2008 yalimnyang'anya Rais wa Kenya madaraka ya kuteua uongozi wa jeshi tajwa.

Ni mamlaka ya uteuzi wa uongozi wa jeshi la polisi ndiyo unampa Rais ubavu wa kulitumia jeshi la polisi atakavyo na raia kunyanyaswa.

Jeshi letu huteuliwa na Rais na ndiyo maana makamanda kulinda tonge hukiuka haki zetu nyingi za kikatiba na kisheria ili kumlinda Rais na wateule wake badala ya kuwalinda wananchi.

Raila Amollo Odinga Marekani jana
 
Namkubali sana raila aka baba anafaa sana ikulu ya kenya
 
raila ni mchumia tumbo kama wapinzani wa sehemu nyingine, wanaotaka kulegalize uozo Fulani, leo ukimpeleka mbowe marekani atasema mahakama ya Kenya ni ya wananchi si ya serikali, which is which?
 
Moja ya matatizo tunayoyapata katika mageuzi yetu ni upotoshaji wa watu kama Raila Amollo Odinga.

Alipohojiwa mageuzi ya jeshi la polisi ili kuwatumikia wananchi badala ya wanasiasa ya mwaka 2008 alidai bado ni la kikoloni siyo kama la Tanzania ambalo linahudumia wananchi

Huu ni upotoshaji wa khali ya juu.

Mageuzi ya jeshi la polisi la Kenya ya 2008 yalimnyang'anya Rais wa Kenya madaraka ya kuteua uongozi wa jeshi tajwa.

Ni mamlaka ya uteuzi wa uongozi wa jeshi la polisi ndiyo unampa Rais ubavu wa kulitumia jeshi la polisi atakavyo na raia kunyanyaswa.

Jeshi letu huteuliwa na Rais na ndiyo maana makamanda kulinda tonge hukiuka haki zetu nyingi za kikatiba na kisheria ili kumlinda Rais na wateule wake badala ya kuwalinda wananchi.

Raila Amollo Odinga Marekani jana

Anaweza kuwa anajikita kwenye rekodi za uhalifu zinazofanywa na polisi wa Kenya

Jeshi la polisi Kenya linashika nafasi ya tatu (3) duniani kwa askari wake kuua wananchi.
 
Raila Amolo Oginga Odinga Jaramogi ni gwiji la siasa hatari waulize wakenya watakueleza, hata hao walioko kwenye madaraka wanamfahamu vizuri kwa uwezo wake wa ushawishi ,lolote lile analosema utasikia wanasema kama Baba ndiyo amesema sisi tuko tayari kutii. Huyo ndiye R. A. O. O. J. aka AGWAMBO.
 
Moja ya matatizo tunayoyapata katika mageuzi yetu ni upotoshaji wa watu kama Raila Amollo Odinga.

Alipohojiwa mageuzi ya jeshi la polisi ili kuwatumikia wananchi badala ya wanasiasa ya mwaka 2008 alidai bado ni la kikoloni siyo kama la Tanzania ambalo linahudumia wananchi

Huu ni upotoshaji wa khali ya juu.

Mageuzi ya jeshi la polisi la Kenya ya 2008 yalimnyang'anya Rais wa Kenya madaraka ya kuteua uongozi wa jeshi tajwa.

Ni mamlaka ya uteuzi wa uongozi wa jeshi la polisi ndiyo unampa Rais ubavu wa kulitumia jeshi la polisi atakavyo na raia kunyanyaswa.

Jeshi letu huteuliwa na Rais na ndiyo maana makamanda kulinda tonge hukiuka haki zetu nyingi za kikatiba na kisheria ili kumlinda Rais na wateule wake badala ya kuwalinda wananchi.

Raila Amollo Odinga Marekani jana

Raila ameishiwa huyo utasifu vp jeshi la polisi la Tanzania linaloendeshwa na chama cha mapinduzi wakati jeshi la polisi la Kenya linaendeshwa independently.hayo matatizo yanayotokea Kenya ingelikuwa hapa kwetu were mwenyewe usingekuwa huru tayari ungeshashughulikiwa na mapolisi na wafuasi wako wangeshajaza mahabusu na magereza maneno yote hayo yanamtoka kwa sababu ya huo Uhuru wa mawazo anaoupata kutokana na katiba safi ya kenya
 
Back
Top Bottom