Raila Odinga adai alikuwa ni Mshauri wa Rais Magufuli na alimshauri hata namna ya kupata fedha kwa ajili ya nchi. Ngoja tuone 2025 hapa nyumbani!

Kuna kipindi Odinga alisema Magufuli anashahuriwa vibaya swala la Covid 19. Na kama ninakumbuka vizuri alisema anamtafuta ili hamshauri lakini hampati!!!
 
Kuna kipindi Odinga alisema Magufuli anashahuriwa vibaya swala la Covid 19. Na kama ninakumbuka vizuri alisema anamtafuta ili hamshauri lakini hampati!!!
Jiwe alikuwa amemblock msela wake kipindi kile amekwenda kutafuta asylum Chato
 
Ukitembelea nchi nyingine za Africa kama Nigeria, Ghana na kadhalika. Kikwete pamoja na kuwa raisi miaka 10 na kutembea sana nje ya Tanzania lakini wengi hawamjuhi kama Magufuli pamoja na kutosafiri nje ya Tanzania!!
 
Jiwe alikuwa amemblock msela wake kipindi kile amekwenda kutafuta asylum Chato
Nadhani huusiano wao ulikuwa mzuri wakati Magufuli akiwa waziri na miaka ya mwanzo alipoingia ikulu lakini. Hata kuna picha walikuwa wanakutana kifamilia. Lakini baadae urafiki ulififia baada ya Magufuli kukwaruzana sana na Uhuru!
 
JPM bado ni Taa isiyozimika East Africa na Africa mzima ila wale wajomba wa kule wanajitahidi kumchafua ila bado Taa inawaka
 
Kwenye uchaguzi wa kenya safari hii sina upande wa kuunga mkono.

Maana Ruto naye ni sawa na nyoka tu maana kwa siasa anazo zifanya anaonekana yuko pale kwa ajili ya madaraka tu.

Raila naye baada ya kujitangaza kuwa yeye roll model wake ni jiwe tayari nisha mtoa kwenye akili zangu.
Wewe una umuhimu gani kwa mgombea wa Kenya? Wewe hata mnyika anakujua?
 
Ukitembelea nchi nyingine za Africa kama Nigeria, Ghana na kadhalika. Kikwete pamoja na kuwa raisi miaka 10 na kutembea sana nje ya Tanzania lakini wengi hawamjuhi kama Magufuli pamoja na kutosafiri nje ya Tanzania!!
West Africa wanamjua Magufuli kuliko Tanzania. Walinishangaza sana.
Chadema japo huyo jamaa aliwatenda lakini wanabidi wa trade careful na jina lake kwenye kutafuta kura lakini wanasikia basi.
 
Kwenye uchaguzi wa kenya safari hii sina upande wa kuunga mkono.

Maana Ruto naye ni sawa na nyoka tu maana kwa siasa anazo zifanya anaonekana yuko pale kwa ajili ya madaraka tu.

Raila naye baada ya kujitangaza kuwa yeye roll model wake ni jiwe tayari nisha mtoa kwenye akili zangu.

Sasa siutakufa na kinyongo, kwani wewe ulikuwa cheti feki,ama mjombaako alikuwa fisadi ama nawewe ulitishiwa kuuliwa.
 
Mgombea urais wa Kenya anayeungwa mkono na wananchi wengi nchini humo mh Raila Odinga amesema yeye alikuwa ni Mshauri wa aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Magufuli.

Raila amesema Magufuli aliweza kumpigia simu hata saa 12 asubuhi ili apate ushauri wake na kwamba alimshauri hata namna ya kupata fedha kwa ajili ya maendeleo ya nchi.

Source: Kenyans. co.ke

My take; Hata hapa nyumbani 2025 Magufuli atakuwa lulu.
Ndiye aliyemfundisha na kupiga wapinzani risasi? Kwa hiyo akiingia Ikulu kina Musyoka wasubiri risasi 38?
 
Inamaana ndiye aliyeshauri ujenzi wa Chato International Airport na Rusumo Wild Life pia uhamisho bila visa wa wanyama kutoka Serengeti na Ngorongoro!
Naamini unamaanisha it was not okay kuwapeleka wale wanyama Burigi but it was okay kuwapandisha ndege wanyama kama twiga na kuwapeleka UAE
 
Back
Top Bottom