Raila aibuka na kingine, amekiita 'ukombozi wa tatu'

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,516
47,740
Hii ni baada ya kutua kutoka kwenye ziara ya siku kumi Marekani ambako alifanya vikao kadhaa kule. Mara tu baada ya kutua, vurugu zikaanza baina ya maelfu ya wafuasi wake na polisi, wamekimbizana mjini na kupelekea vifo vya watu watano, japo baadaye polisi wametoa tamko kwamba hao waliuawa kwa kupigwa na wananchi baada ya kuthubutu kupora.

-------------------------------------------------------------------------------

National Super Alliance leader Raila Odinga has announced the launch of what he described as the Third Liberation. Addressing his supporters after day-long battles with police, Raila told a cheering crowd that his message from the US, to where he had been for 10 days, was that change must come to Kenya

Police prevented his procession from entering Uhuru Park where he would have addressed a rally forcing him to do it at the Community area. Running battles between police and his supporters had begun as early as 8am outside Jomo Kenyatta International Airport to where they had trekked to welcome him from his Kibera bastion eight kilometres away and the Eastlands suburbs of Nairobi.

Police had 'banned" the welcoming procession citing the security of the airport but the crowds ignored the edict. From the airport, Raila’s motorcade drove on Mombasa Road escorted by chanting supporters all the way to Nyayo Stadium roundabout from it branched off to Eastlands through Jogoo Road, From Jogoo Road it turned back heading to the city centre. It is on Jogoo Road and Haile Sellasie Avenue where the battles with the police were at their most ferocious. Several people were reported killed and cars burnt.

NASA pulled out of the October 26 repeat presidential election and announced the elevation of the solidarity to an entity it called the National Resistance Movement aimed restoring "electoral justice" in Kenya vowing to push for a fresh presidential election within 90 days. The Supreme Court delivers its verdict on Monday November 20 after conclusion of three petitions challenging President Uhuru Kenyatta's re-election.

On September I, the court annulled the August 8 Presidential election on the grounds that it was marred by irregularities and illegalities.
Read more at: Raila returns after-10 day US tour, launches 'third liberation'
 
Hii ni baada ya kutua kutoka kwenye ziara ya siku kumi Marekani ambako alifanya vikao kadhaa kule. Mara tu baada ya kutua, vurugu zikaanza baina ya maelfu ya wafuasi wake na polisi, wamekimbizana mjini na kupelekea vifo vya watu watano, japo baadaye polisi wametoa tamko kwamba hao waliuawa kwa kupigwa na wananchi baada ya kuthubutu kupora.

Read more at: Raila returns after-10 day US tour, launches 'third liberation'
Kwani tatizo ni nini hasa? Kwa nini polisi wasingewaacha wafuasi wake wampokee, pengine fujo zisingeibuka, au ni fujo zilipangwa purposely?...
 
Polisi na state house walitowa amri isiyo tekelezeka. Wangetaka wangeweka vizuwizi barabarani (road block) kisipite kitu wala mtu. Lakini wanawacha njia nyeupe halafu wanamwagi maji magari na kupiga watu mawe na mabomu ya machozi.
 
Ifike mahali mpinzani ndani ya nchi zetu watawala inabidi wa mkubali maana nae ana akili na uwezo wa kuongoza kama wao watawala. Mpinzani sio jini wala muuwaji ni Mwanasa siasa kama wao, anasera,anakatiba ya chama na ndio maana mkampa usajili wa chama,ana rasilimali watu pia wakuongozwa na watendaji,kwahiyo nao waheshimiwe mawazo,michango na majitoleo yao yatambuliwe.
 
Illegitimate government gives illegitimate orders that are enforced by illegitimate officials.

Uhuruto should reason out why the police were reluctant to act. A lesson learnt the hard way.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Angekuwa ni Profesiori Mapumbavu kwa kule Tz, angelindwa na polisi akisindikizwa na wafuasi wake....lakini angekuwa Lowasaa....yangetokea haya haya ya Odinga.
 
Kwani tatizo ni nini hasa? Kwa nini polisi wasingewaacha wafuasi wake wampokee, pengine fujo zisingeibuka, au ni fujo zilipangwa purposely?...
Exactly....wangewacha tuu apokelewe na wafuasi wake...Excessive use of force...Very synonymous with the police force...I hope they find ✌️ peace...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom