Kenya 2022 Raila Accuses DP Ruto Of Using Stolen Money To Fund Campaigns

Kenya 2022 General Election

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
ODM leader Raila Odinga was on Monday back in Western Kenya barely four days after the Bukhungu stadium meeting to solidify his support in the vote-rich region.

Odinga was this time in Lugari Constituency to comfort the family of Nabii Nabwera after losing their mother Jane Matakala.

The ODM leader used the podium in Lugari to dismiss his political rival DP William Ruto's presidential candidature, questioning the source of the millions of shillings he splashes in his campaigns.

“Anakuja kwa serikali anakaa mwembamba baada ya mwaka mmoja ananona kama kupe… Anaenda hii kanisa anasema askofu hana gari anakuwa mkiristo kuliko askofu…Anaita vikundi vya akina mama ati haraambee...,” said Odinga.

The former premier warned Kenyans against electing Ruto claiming that Ruto's leadership will be marred by corruption at the expense of service delivery to Kenyans.

“Kila mwezi yeye hutoa milioni laki moja na mshahara wake ni milioni mbili… mimi najua mahali ametoa hiyo pesa ingine...,” said Odinga.

Leaders most of whom accompanied Odinga to the Bukhungu meeting last Friday took cue from the meeting and rallied the Western Kenya region to vote for Odinga in the August 9th polls.

“Sisi tumekubali kwenda pamoja na wazee na tutakuwa nyuma ya raila odinga yeye ndio atatupeleka Canaan,” said Governor Wycliffe Oparanya.

“Kama wazee wa mulembe wamesema tunaunga mkono Raila Odinga wewe ni nani unapinga?” said MP Godfrey Osotsi.

Odinga, who was endorsed on Friday in Kakamega, has been urged to lock the region's votes as call for the building of coalitions dominate speeches.

He called on the Western Kenya region to vote for his candidature

Source: Citizen
 
Kama ako na evidence si aioneshe kwa public😬ama ampeleke kortini!
Noncence wacha tu nsiongee mengi but this useless old witch will never ever get to power!nkt
 
Kama ako na evidence si aioneshe kwa publicama ampeleke kortini!
Noncence wacha tu nsiongee mengi but this useless old witch will never ever get to power!nkt
Hahahaha, lazima mtachinjana mwaka huu kwasababu ya ukabila wenu ulivyokomaa
 
Hahahaha, lazima mtachinjana mwaka huu kwasababu ya ukabila wenu ulivyokomaa
I really pray for peace,but kama kuwa mkabila ni kusuport Ruto let it be!
Let me tell you kama ingekuwa ni Babu Owino(my guy) angekuwa anasimama hiyo kiti ningejipa yangu yote kwake!
But Raila is a No
Akona na hard history,ndiyo alidhulumiwa na anaweza kujilipishia na kutesa raia wa kawaida kama mimi,ndiyo maana simwamini huyo mzee
#aende nyumbani bondo akalee wajukuu!
 
Uko na reasoning ya kitoto sana,
Ndio maana each election huwa mnachagua maumbwa tu,
Pettiness.
 
Kama ako na evidence si aioneshe kwa public😬ama ampeleke kortini!
Noncence wacha tu nsiongee mengi but this useless old witch will never ever get to power!nkt
Use common sense ya kuzaliwa,
Anatoa wapi iyo pesa yote!
Period
 
Wote ni wezi hawafai kuchaguliwa
very true but wakenya hawapendagi wale wazuri,sababu wale wabaya ndio wako na wana pesa and opportunity to be there,
Wale wazuri wangetaka kupata nafasi but hawawezi sababu wakijaribu watafinyiliwa chini na wale wabaya
Dunia ni mwenye nguvu mpishe
Watu kama Mutua(machakos governer) na Mudavadi they really deserve that sit💯but people dont see them
 
Kama ako na evidence si aioneshe kwa publicama ampeleke kortini!
Noncence wacha tu nsiongee mengi but this useless old witch will never ever get to power!nkt
"baba" tena kawa mchawi?!!...hebu na wewe weka huo ushahidi wako kwamba raila ni mchawi huyo kibaka wenu( ruto) kamwe hataingia wh
 
"baba" tena kawa mchawi?!!...hebu na wewe weka huo ushahidi wako kwamba raila ni mchawi huyo kibaka wenu( ruto) kamwe hataingia wh
yeye mwenyewe alisema yeye ni mganga!
And bythe way Ruto has numbers
And ya Ruto haitaibiwa we are watching😬
 
I really pray for peace,but kama kuwa mkabila ni kusuport Ruto let it be!
Let me tell you kama ingekuwa ni Babu Owino(my guy) angekuwa anasimama hiyo kiti ningejipa yangu yote kwake!
But Raila is a No
Akona na hard history,ndiyo alidhulumiwa na anaweza kujilipishia na kutesa raia wa kawaida kama mimi,ndiyo maana simwamini huyo mzee
#aende nyumbani bondo akalee wajukuu!
Mungu atawasaidie na mtatoka salama... much love from Tanzania 🇹🇿
 
very true but wakenya hawapendagi wale wazuri,sababu wale wabaya ndio wako na wana pesa and opportunity to be there,
Wale wazuri wangetaka kupata nafasi but hawawezi sababu wakijaribu watafinyiliwa chini na wale wabaya
Dunia ni mwenye nguvu mpishe
Watu kama Mutua(machakos governer) na Mudavadi they really deserve that sit💯but people dont see them
Si kila mahali wenye nguvu hupita. Wakati mwingine Mungu akiamua kufanya yake basi atafanya... ona 2015 Tanzania, aliyepata nafasi ya Urais wala hakuwa mtu tajiri na mwenye hela ila heshima aliyojijengewa kwa jamii kama mtu mchapakazi ndo imemfamya akashika hiyo nafasi... msikate tamaa. Itafika tu siku mtampata mnayemtaka.
 
Back
Top Bottom