Raiamwema laipiku mwanahalisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raiamwema laipiku mwanahalisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Jul 20, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni gazeti linalotoka kila j5 sawa na mwanahalisi
  raiamwema lipo juu hasa ktk habari zinazohusu cdm na ufisadi
  hili gazeti makini ambalo mwanzo tulidhani limekuja tu kuficha ufisadi na kuitetea ccm limekuwa mwiba sana kwa ccm na huku likionekana wazi limeipiku mwanahalisi kuhusu maswala nyeti ya CDM.
  Nadra gazeti hilo kupata hotuba za kambi ya upinzani lkn sasa linakuja kwa kasi na hotuba zote za wapinzani utazipata huko. hii ni kazi kubwa iiliofanywa na uongozi wa gazeti hilo kufichua ufisadi na kuliavcha nyuma mwanahalisi ambalo limeanza kuchusha mbele ya viongozi wa CDM
   
 2. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna Hoja
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  hii taarifa mbona kama udaku vile.

  ok, what's the point by the way?
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  BARAFU
  Join Date : 19th July 2009

  Posts : 20
  Rep Power : 0  BILA SHAKA JANA ILIKUWA BIRTHDAY YAKO KUJIUNGA JF.


   
Loading...