Raia watatu wa Somalia wasomewa mashitaka sita likiwemo kuhujumu uchumi

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
3,164
2,000
Watu watatu ambao ni raia wa Somalia wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka sita likiwemo la kuhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya shilingi Milioni 370.

ITV
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom