Raia wanaouana ni wengi kuliko mauaji wanayofanya Polisi

Hata vitabu vya kinabii vilisema nyakati za mwisho watu watakuwa wakatili.na ndivyo ilivyo watu.lawama nyingi wanapewa polisi lakini fuatilia mitaani matukio ya mauaji hayaishi.hatuwezi kusema kuwa Rais karuhusu hayo mauaji au anahusika.hata mazingira ya tukio la lissu.hao itakuwa Ni maadui zake nje ya siasa.ingekuwa serikali kweli imedhamiria kumuua Basi ingetimiza tu kwa sababu Ina walengaji hodari(masnaper).shoot moja TU unakufa.
Punguani
 
Mods Kuna haja ya kutengeneza jukwaa maalumu la watu wenye IQ ndogo wahamishiwe huko na hii ipimwe kwa michango yao ya hovyo wanayotoa na wasiruhusiwe kuja huku ili wakawe burudani kwa wajinga au wapuuzi wenzao.

Ifanyeni Jf iwe mithili ya shule, kuna watu wanachafua madarasa ya watu kujifunza humu kwa michango ya hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom