ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,554
- 44,725
Hata vitabu vya kinabii vilisema nyakati za mwisho watu watakuwa wakatili.na ndivyo ilivyo watu.lawama nyingi wanapewa polisi lakini fuatilia mitaani matukio ya mauaji hayaishi.hatuwezi kusema kuwa Rais karuhusu hayo mauaji au anahusika.hata mazingira ya tukio la lissu.hao itakuwa Ni maadui zake nje ya siasa.ingekuwa serikali kweli imedhamiria kumuua Basi ingetimiza tu kwa sababu Ina walengaji hodari(masnaper).shoot moja TU unakufa.