Raia waliokwenda kumsikiliza mgombea Urais kwa ticket ya CCM wakiondoka uwanjani baada ya mkutano

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
1599804483987.png

Hawa ndiyo wamehubiriwa ujenzi wa flyover, barabara, reli ya standard gauge na bwawa la Stiglers George.
 
Kama kuna mtu anaepitia magumu ya maisha kwenye awamu hii ataipa kura CCM basi ni sikio la kufa. Hakuna mpinzani akili itamkaa vizuri hali ya maisha ndio itaongoza mgombea kupewa kura au la, kama kuna mtu anakula flyover na ndege ataipigia kijani.
Uzuri utawala huu joto ya jiwe limempata kila mtu. Kama si kwa mikopo ya elimu ya juu basi ni tozo la TRA, Kama si kikokotoo basi ni ongezeko la mishahara au korosho na mazao mengine.
 
Uzuri utawala huu joto ya jiwe limempata kila mtu. Kama si kwa mikopo ya elimu ya juu basi ni tozo la TRA, Kama si kikokotoo basi ni ongezellig la mishahara au korosho na mazao mengine.
Kila mtu kaguswa hata kwenye familia ukibahatika kuwa na kibarua wenzio hawana utakuta kile kidogo mnachangia tena, Kama kuna familia haijaguswa sijui, lakini hizi familia zetu za chini tunapumulia mashine.
 
Kama kuna mtu anaepitia magumu ya maisha kwenye awamu hii ataipa kura CCM basi ni sikio la kufa. Hakuna mpinzani akili itamkaa vizuri hali ya maisha ndio itaongoza mgombea kupewa kura au la, kama kuna mtu anakula flyover na ndege ataipigia kijani.
Kama mtu atampa kura Lissu ni kichaa
 
Back
Top Bottom