Raia wafunga barabara Igunga

washwa washwa

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
1,613
715
Raia wanachoma matairi na wamefunga barabara eneo la Igunga kwa madai ya dereva wa Bajaji kuchinjwa pasipo Jeshi la Polisi kuchukua hatua. Jeshi la Polisi wasaidie kufungua njia wasafiri tuweze kuendelea na safari kwa kuwa ni zaidi ya muda wa saa moja kuanzia kuanza kwa tafrani hiyo.
 
15442252_1641600726140694_3853749260889458085_n.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom