Jay Jay Nationalist
Member
- Feb 11, 2017
- 43
- 112
Raia wa Uganda aliokuwa anajulikana kwa jina la OMONY JULIUS amebadili jina hilo na kuwa JULIUS NYERERE siku ya tarehe 28/02/2017.
Mabadiliko haya yamefuata taratibu za kisheria za inch ya Uganda, huku sheria hiyo imeelekeza kuwa taafia zote za kimaandishi zilizokuwa zikimuhusu Bwana OMONY JULIUS sasa zitakuwa entitled kwa jina la JULIUS NYERERE.
Bwana JULIUS NYERERE (jina jipya) ameomba na kuwataka wanainch wote wa Uganda na Dunia nzima kimtambua na kumuita kwa jila la JULIUS NYERERE.