Raia wa Sudan akamatwa akijaribu kumchinja kwa kisu raia huko Belfast

Raia wa Sudan akamatwa akijaribu kumchinja kwa kisu raia huko Belfast

Uganda sio mbali uko Ulaya kibweteere Baba Mchungaji kawauwa Wakristo wenzie Mia900💀💀💀💀💀💀💀💀 lengo waende kwa YESU YESU Aleluyaaaaa🚮🚮

So ndio tuseme Ukristo ni upumbavu kwann YESU✝️✝️✝️ atumike kuwauwa watu kinyama kama vile mia 900☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️????

MCHUNGAJI Paul Makenzie kawauwa Wakristo wenzie mia700✝️✝️✝️✝️ lengo pia Wakristo waende kwa YESU YESU Aleluyaaaaa YESU sio mbali uko Ulaya ni jiran tu pale Kenya kesi bado ipo Mahakamani Je tuseme Ukristo ni Upumbavu ???

Ivi Kweli mtu mwenye Afya njema ya akili vipi afe kikondoo kondoo kama vile pale Uganda au Kenya????

Je tupige Vita Ukristo usiwepo kabisa mana chanzo cha mauaji makubwa sana????
Ona ulivyohuna akili two wrongs doesn't make a right
 
Huna akili
Mbona kama wamepigana wenyewe uyu Mzungu kaaungushwa chin!!!

kwann Dini imebebeswa zigo la ugomvi wa watu wawili!!!!!!!!

Kwaiyo ingekuwa uyo Mzungu ndio kamtandika uyo kijana mngesema Mkristo kampiga Muislamu au mngetafuta neno lengine??

Propaganda za kitoto🚮🚮🫎🫎🫎
 
Ni swala la mental health na siyo UDINI KAMA WENGI WANAVYODHANI...
Kuwa refugee au asylum seeker kwenye nchi ngeni, isiyokutaka na wewe kubaguluwa kucha lazima kukuletee MADHARA KIAKILI..
 
Ona ulivyohuna akili two wrongs doesn't make a right

Mkiambiwa ukweli na kukumbushwa ukondoo wenu wa Dini mnachukia sana!!!

Mkiambiwa UISLAM hamuwezi kuuchafua lkn vimbelembele tukio dogo mnakimbilia kudai UISLAM!!

Kama Dini kimeo kwenu ✝️ kumeoza kabisaaa, 🚮

kwenu kuna Majangaa kibao lkn sisi tumenyuti tu!!

mkimwaga Ugali tunamwaga mboga

Mikondoo akili kisoda lkn ndio wanajiona wanajuaaaaaa mabega juuuuuu🤠🤠

Njia ndio iyoooo mkitaka kufanya propaganda ya Dini tunaigeuza propaganda yenu na kuwachapia wenyewe mpaka mtanyoooka✍️
 
Yan kobaz akimuua mzungu wakristo wanaumia sana lakn mzungu akiua kobaz wakristo wanashangalia sana


Hii inaitwaje? Kwako Mzee wa uharo
Ukristo haufurahii mtu yeyote kuuawa. Hakuna Mkristo wa ukweli atakaye furahia Kobaz auawe. Ukristo haupo hivyo. Si Dini ya mauaji.
 
Back
Top Bottom