Raia wa Sudan akamatwa akijaribu kumchinja kwa kisu raia huko Belfast

Raia wa Sudan akamatwa akijaribu kumchinja kwa kisu raia huko Belfast

wapi huko weusi wanapouliwa kila uchao na hao unawaita weupe? nitajie watu weusi walipouliwa na "weupe", btw muslims and communists kill afrikans kila siku sudani, kongo, barbaria somalia, chad, nigeria, nigeria mpaka msumbiji haya nitajie pale ambapo hao weupe wanapoua waafrika ...

Kwamba ujui Weusi wenzetu wanavyouwawa uko Marekani

na Africa kusini na Wazungu weupe

uko Ulaya
 
Attachments

  • _112574358_floyd_afp.jpg.jpeg
    _112574358_floyd_afp.jpg.jpeg
    59.6 KB · Views: 6
Kwani huyo MSOMALI na MANABII WENU wa hapa nyumbani wana tofauti gani?.. USIUE na USIIBE zote ni dhambi..

Afterall binadamu kufa ni lazima hakuna cha ajabu hapo..
 
Kwani huyo MSOMALI na MANABII WENU wa hapa nyumbani wana tofauti gani?.. USIUE na USIIBE zote ni dhambi..

Afterall binadamu kufa ni lazima hakuna cha ajabu hapo..

Uko Ulaya na Marekani Wazungu wanabagua sana langi Nyeusi !!

Unatakiwa uwe mpole sana wakikukuta Sehemu yoyote yenye kutoa Uduma yoyote wanakupa maneno kebei kebei 😜😜

kama ndio kwanza umeenda uko unaweza kutwangana ngumi muda uho uho !!!

yani wenyewe wanataka kukuta Mzungu popote wanapotaka Uduma yoyote iwe Supermarket iwe hospital iwe popote !!!

kuitwa nyani nikama chai asubuhi!!!!!!

Ndiomana nasema uyo Msomali sio Gaidi wamepigana wale Mzungu ulimi nje wakaona wamzushishie Ugaidi nk.

Wanachotaka wao Mzungu akutukane ww uwe unachekacheka tu🤠🤠
usinune kabisa !

yanalinga linga kibwege bwege sana unaweza Sema katumwa kukulenga wewe tu kukwalibia mipango yako!

Ndiomana raia kutokea kama Somalia Afghanistan kwenye Nchi zenye migogoro ya muda mrefu wakienda uko wanashindwa kuwavumilia Wazungu !!!

mwisho ndio ivyo kizaazaa Msomali kashazika baba dada yake afu unataka kumdekea dekea anakuchapa !!!

Ndiomana Trump hawapendi wasomali na wa Afghanistan popote ukiwazingua wanakudhingua apo apo ata iwe kituo cha polisi!!

Wamasai pia wapo ivyo usijichanganye kumpiga kwakuwa ww Boss anaondoka na mkono wako💪🗡✍️
 
Ukipigana na mweusi mwenzio sawa lkn sio Mzungu mwiko!!

Kwaiyo kila Mzungu unatakiwa kumuona kama Boss wako🤠🤠

ukishikwa popote ucheke cheke tu ukiitwa nyani ukenue tu na kutabasamu zaidi🤠

Mwacheni kijana mwenzetu mweusi jasiri kakataaa utwana mbele ya Mzungu💪

Wazungu wanaboa sn wakiwa kwao uko ninandugu wengu uko 👈
 
Weusi wenzetu wanapitia mengi sana uko
lkn ndio ivyo tu wanavumilia maisha yaende!!
 
Ikiwa ww sio mnafiki unaoji Msomali kwenda Ulaya kuwauwa Wazungu !!!

Lkn umewai kuoji Marekani anafanya nini Somalia ??????
Unajua wameuwa Wasomali wangapi pale??

Marekani na Uingereza Germany France Italy Australia Nk. wamefanya nn Afghanistan Iraq Libya Syria nk.

Je unajua wameuwa raia wangapi kwenye izo Nchi???

Wazungu wameitwa nanani kwenye Nchi za Waislam ???

zaidi kwenda kuuwa watu wasio na hatia yoyote kwanzia kina Mama mpaka watoto zao!!

Australia ilitoka ripoti ya Aljazeera kuwa vikosi vingi vilienda Afghanistan kujifunza kuuwa

Yani Wanajeshi vijana wa Kizungu ni wapya hawajawai kuuwa Binadamu ivyo lengo kupelekwa kule Afghanistan wakapate fields ya kuuwa moja
kwa moja Binadamu Lengo wawe wazoefu na kuuwa wasiogope kuuwa kwenye mission yoyote uko mbele iwe Vita nk.💀💀💀💀💀

Vijana wajeda wa Australia ndio wakatoa iyo siri
Baadhi yao waligoma kuuwa pasi sababu

lkn Kamanda wao mkuu akawalazimisha kuuwa tu yoyote wakimkuta mkulima Shambani kikundi chochote njian Uwa kitoto kinacheza Uwa pamoja na Mamake mzazi Uwa!!
wanatakiwa kuuwa tu wasioji kitu chengine chochote¿¿¿¿¿

Leo kondoo mliopotea mkisikia kijana wa Afghanistan kawauwa watu uko Ulaya!!

mnataka kufanya propaganda wkt baba zake uyo kijana wameuwawa pasi na Sababu yoyote na Wazungu miungu yenu💀💀✍️

Sijui mnaelewa Wazungu vizuri❗️

kabla ya kuvamiwa Afghanistan hatukuwai kusikia tukio lolote kutoka kwa raia wa Afghanistan uko Ulaya au Somalia 👈

Muislamu kamwe usisubutu kumuuwa ukadhani mambo yameisha👈
ipo siku yako utalipia Damu yake👈

Wamezoea kuuwa ovyo ovyo Wamewauwa wa Vietnam million 3 kwenye ile Vita ¿¿

lkn wa Vietnam wamepotezea kwao yameisha👈

Sasa wakaamia kwa waislamu uku sasa wamefika kwa mfano wa mbuzi kufia kwa muuza Supu 🤠🤠

Waislam ni noma mtazikana tu mdogo mdogo lkn watakufikishia ujumbe kwako uko uko mchezo bado
ndokwanza asubuhi ✍️

wanaoua barbaria somalia in somalia ni saudi arabia, anaye-fund al shabaab somalia in saudi arabia, ongea na msomali yoyote atakwambia, sasa mbona hamuendi kuchinja saudi arabia wanaobomoa somalia? ...
 
wanaua barbaria somalia in somalia ni saudi arabia, anaya-fund al shabaab somalia in saudi arabia, ongea na kila msomali atakwambia, sasa mbona haendi kuchinja saudi arabi wanaobomoa nchi yake? ...

Majeshi ya Marekani pale Somalia yanafanya nn???
 
Kwamba ujui Weusi wenzetu wanavyouwawa uko Marekani

na Africa kusini na Wazungu weupe

uko Ulaya

jielimishe khs black on black homicide, homicide is the leading cause of death among young black americans, na >80% ya black amerikans wanauliwa na black amerikans, inaiitwa black on black crime ...
 
Uislamu ulivyoleta majanga Ulaya na Marekani⚠️

Msomali mmoja mwenye umri wa miaka 30 alikamatwa kwa jaribio la mauaji baada ya shambulio la kinyama la kisu kaskazini mwa Belfast ambalo lilimwacha mwanamume mwenye umri wa miaka 40 na majeraha mabaya usoni, shingoni, na mgongoni.

Shambulio hilo, ambalo lilitokea Jumatatu usiku kwenye Kinnaird Avenue, lilinaswa kwenye video likimwonyesha mshambuliaji akimpiga mwathiriwa mara kwa mara huku watu waliokuwa karibu wakiingilia kati, huku mmoja akitumia fimbo ya kurusha ili kuzuia shambulio hilo.

Mashahidi walielezea tukio hilo kama jaribio la kumkata kichwa, ingawa polisi hawajalitaja rasmi.

===========

A man believed to be Sudanese has been arrested on suspicion of attempted murder after a "brutal" knife attack in Belfast, police have said.

The man, in his 30s, remains in custody after the incident in north Belfast at about 22:30 BST on Monday. Police are not seeking anyone else in relation to the incident.

Police have said they recovered what they believe to be a kitchen knife at the scene.

Video circulating online shows a number of people, including one wielding a hurling stick, confronting the apparent attacker until the police arrived.

A man injured in the attack, aged in his 40s, is in hospital where his condition is described as serious.

Police said he had serious slash wounds to his back and face and had eye injuries as well.

They praised local residents for their actions which they said saved the man's life.

Source: BBC
Mswalie mtume solomoni
 
Nakumbuka 2017 yule waziir wa mambo ya nje wa UAE aliwaonya magharibi kwa kujifanya na huruma sana na kujifanya kujua maswala ya kobaz zaidi ya wao wanavyojua.

Leo hii ulaya imejaa mauaji na ubakaji kwa sababu ya wahamiaji holela kutoka ncchi za kikobazi

Sasa wanaona madhara yake, ulaya sio ulaya tena ile ya wakina queen elizabeth na napoli, ulaya imekuwa rambo la ubakaji kwa sabaabu ya waarabu na wapakistana na wasomali.

SHAME.
Uislam umeleta ustaarabu duniani. Tuuenzi siku zote.
 
Baada ya ya msomali huyo kukamatwa na kushitakiwa vijana wa kiislamu waliingia mitaani na kuanza kuchoma magari na vitu mbalimbali walikaribishwa kama wakimbizi sasa wanautumia vibaya uhuru waliouwawa huko Ulaya!!!
Huyo trump mwenyewe ni mgeni kutoka ujerumani.
Wazungu walipoingia america waliua wenyeji karibia wote.
 
Mbona kama wamepigana wenyewe uyu Mzungu kaaungushwa chin!!!

kwann Dini imebebeswa zigo la ugomvi wa watu wawili!!!!!!!!

Kwaiyo ingekuwa uyo Mzungu ndio kamtandika uyo kijana mngesema Mkristo kampiga Muislamu au mngetafuta neno lengine??

Propaganda za kitoto🚮🚮🫎🫎🫎
Wasikilize hawa Wapemba wenzio hapa. Wao wanajenga nyumba zao za ibada maeneo ya Wakristo, ila wanapinga Kanisa kujengwa

View: https://youtu.be/pcwvILodCKM?is=TokfOwbaOPDvsdH_
 
Kimsingi sasa Ulaya wanaamka japo hawajachelewa sana. Naona baada ya tukio hilo, kumeamka Movement ya kuwafukuza wahamiaji haramu wote toka nchi za Kiislamu.

Inasikitisha japo wamechelewa sana.
 
Yan kobaz akimuua mzungu wakristo wanaumia sana lakn mzungu akiua kobaz wakristo wanashangalia sana

Hii inaitwaje? Kwako Mzee wa uharo
 
Uislamu ulivyoleta majanga Ulaya na Marekani⚠️

Msomali mmoja mwenye umri wa miaka 30 alikamatwa kwa jaribio la mauaji baada ya shambulio la kinyama la kisu kaskazini mwa Belfast ambalo lilimwacha mwanamume mwenye umri wa miaka 40 na majeraha mabaya usoni, shingoni, na mgongoni.

Shambulio hilo, ambalo lilitokea Jumatatu usiku kwenye Kinnaird Avenue, lilinaswa kwenye video likimwonyesha mshambuliaji akimpiga mwathiriwa mara kwa mara huku watu waliokuwa karibu wakiingilia kati, huku mmoja akitumia fimbo ya kurusha ili kuzuia shambulio hilo.

Mashahidi walielezea tukio hilo kama jaribio la kumkata kichwa, ingawa polisi hawajalitaja rasmi.

===========

A man believed to be Sudanese has been arrested on suspicion of attempted murder after a "brutal" knife attack in Belfast, police have said.

The man, in his 30s, remains in custody after the incident in north Belfast at about 22:30 BST on Monday. Police are not seeking anyone else in relation to the incident.

Police have said they recovered what they believe to be a kitchen knife at the scene.

Video circulating online shows a number of people, including one wielding a hurling stick, confronting the apparent attacker until the police arrived.

A man injured in the attack, aged in his 40s, is in hospital where his condition is described as serious.

Police said he had serious slash wounds to his back and face and had eye injuries as well.

They praised local residents for their actions which they said saved the man's life.

Source: BBC
Wewe mke wa Netanyahu mjinga kweli, huo uislamu unahusika vipi hapo, punguza chuki wewe dada shoga
 
Wewe nyani mweusi mwenye pua kubwa na nywele za kipilipili unaamini kabisa ume integrate na wazungu ?
Au unadhani kuvaa rozari na kwenda kanisani kila siku wanakuona mwenzao ?

Hiyo siyo ishu, na wala hawana haja kuniona mwenzao na hata mimi nisingependa iwe hivyo kwani hata wao kwa wao hawaonani hivyo Mungu ametuumba insi tulivyo kwa makusudi yake, the point is dont make things worse, kama watu tayari wana negativity khs wewe na unapenda kuishi nao i.e unawahitaji klk wanavyokuhitaji, dont make things worse, kuweni kama chinese mbona wanaishi huko ulaya na USA matter of fact kila mji mkubwa wa western country kuanzia ulaya, USA mpaka Australia kuna china town, mbona wao (wachina) hawachinji watu barabarani? au unafikiri wachina hawajawahi kubaguliwa? ...
 
Back
Top Bottom