yorkshire JF-Expert Member Sep 9, 2016 2,444 2,955 Sep 23, 2019 #2 Huyu jamaa atatuletea msala wa kufungiwa mambo ya betting kwa kisingizio inaharibu vijana na kuleta msongo wa mawazo
Huyu jamaa atatuletea msala wa kufungiwa mambo ya betting kwa kisingizio inaharibu vijana na kuleta msongo wa mawazo
M mangatara JF-Expert Member Jul 6, 2012 14,517 14,134 Sep 23, 2019 #5 Dah! Yaani alijiondoa kwa sababu tu hakuzipata ili akale bata huko huko Manchester?? Nadhani alistahili hicho kifo.
Dah! Yaani alijiondoa kwa sababu tu hakuzipata ili akale bata huko huko Manchester?? Nadhani alistahili hicho kifo.
The Masterpiece JF-Expert Member Sep 20, 2019 385 1,000 Sep 23, 2019 #9 Yote haya anayataka ole sendeka