Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,445
- 3,403
Kwa mujibu wa Euronews orodha ya awali inaonesha raia wa nchi za Mozambique, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria na Morocco wataruhusiwa kuingia nchi za Umoja wa Ulaya (EU)
Inaelezwa huku Ulaya ikiwa inajiandaa kufungua mipaka, Maafisa wa nchi hizo wanajadiliana huko Brussels katika kutengeneza orodha ya nchi ambazo raia kutoka nchi hizo wataruhusiwa kuingia Ulaya
Euronews imeripoti kuwa Maafisa hao wameshindwa kuafikiana juu ya orodha ya nchi hizo na hivyo kuna uwezekano siku ya mwisho ya kufungua mikapa hiyo ikawa zaidi ya Julai 01, 2020
Imeelezwa kuwa Brazil, Qatar, Marekani na Russia hawapo kwenye orodha ya raia wake kuruhusiwa kuingia katika nchi za Umoja huo huku raia wa Uingereza wakiwa na haki sawa na raia kutoka nchi wanachama wa EU
====
Mozambique, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Egypt, Tunisia, Algeria and Morocco.
These are the African countries set to be allowed to enter the EU territory as the borders reopen in July, according to a draft list of the countries obtained and reported by euronews.
As the European Union gets ready to reopen its borders, officials in Brussels are debating behind closed doors, the draft of two lists; one with those countries that will be accepted, and one for those which will not, as the territory struggle to meet their previously announced July 1st goal.
The euronews sources also reported that officials “could not reach an agreement”, that talks would continue and that the deadline to open the borders may very well be extended beyond July 1st, suggesting agreements will not be forthcoming in time.
Notably, Brazil, Qatar, the US and Russia were not on the approved list while UK nationals still have the same rights as EU citizens, as the end of Brexit transition is not until the end of the year.