Raia wa nchi 11 kutoka Afrika mbioni kuruhusiwa kuingia nchi wanachama wa EU kuanzia Julai baada ya nchi hizo kufungua mipaka

Shida yako nini,sasa nchi 11 out 50+ African nations, unaweza toa sababu za kwanini unahisi Tanzania iwemo ndani ya hizo nchi 11 ? Tunauspesheli gani sisi kuliko hizo nchi 40+ amabazo marekani hajazitaja?

Tatizo lenu mnayahusu sana mabeberu.
 
WATU KUTOKA NCHI 11 ZA AFRIKA WANATARAJIA KURUHUSIWA KUINGIA ULAYA KUANZIA JULAI

- Orodha inadaiwa kuonesha raia wa Msumbiji, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria & Morocco kuruhusiwa kuingia nchi za Ulaya ifikapo mwezi Julai mosi 2020.

Hata hivyo Tanzania imekosekana pamoja na kujitangaza kuwa ni "COVID 19 free" tangia mwezi mei mwanzoni mwaka huu.
Kwa hiyo unasemaje?! Au ulitarajia Nini kutokana na msimamo thabiti wa TZ?
 
Siioni kenya hapo

Hizo ndio akili za Chadema kuamini kila maamuzi ya Mzungu ni sahihi
Mkuu unadhani vigezo vilitumika kuruhusu watu wa nchi hizo inaweza kuwa nin? Lockdown tu au nchi kuonekana iko au watu wake kuonekana kuwa covid 19 free
 
WATU KUTOKA NCHI 11 ZA AFRIKA WANATARAJIA KURUHUSIWA KUINGIA ULAYA KUANZIA JULAI

- Orodha inadaiwa kuonesha raia wa Msumbiji, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria & Morocco kuruhusiwa kuingia nchi za Ulaya ifikapo mwezi Julai mosi 2020.

Hata hivyo Tanzania imekosekana pamoja na kujitangaza kuwa ni "COVID 19 free" tangia mwezi mei mwanzoni mwaka huu.
Tanzania ipo locked out..... labda iwe kwenda China na Korea Kaskazini!
 
WATU KUTOKA NCHI 11 ZA AFRIKA WANATARAJIA KURUHUSIWA KUINGIA ULAYA KUANZIA JULAI

- Orodha inadaiwa kuonesha raia wa Msumbiji, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria & Morocco kuruhusiwa kuingia nchi za Ulaya ifikapo mwezi Julai mosi 2020.

Hata hivyo Tanzania imekosekana pamoja na kujitangaza kuwa ni "COVID 19 free" tangia mwezi mei mwanzoni mwaka huu.
Tanzania haiwezi kuwemo kama washauri wa Meko ni akina Wagonjwa mtambuka na Bia yetu. Madhara ya Division five tayari taifa kunaugua
Cc. Mataga
 
Good news, tunasubiri na Gulf countries and my countries TZ and ZNZ wafungulie
Hawawezi kufungulia kamwe nchi za kigaidi kama Tanzania!
1592575.jpg
 
Back
Top Bottom