Raia wa nchi 11 kutoka Afrika mbioni kuruhusiwa kuingia nchi wanachama wa EU kuanzia Julai baada ya nchi hizo kufungua mipaka

Ufipa kumejaa wajinga
Hiyo nayo Mada!!
Yaani nchi Za Africa zipo 54
Umeona Tanzania tu
Kwani huko Mbinguni
Si tuliitangazia dunia kuwa sisi ni mfano wa kuigwa? Mkawa mnasema kina fulani wanamuiga Magufuli? Vipi tena? Na kule Sweeden habari za Slaa tunazo!
 
Kwa hiyo hata watani zetu Kenya hawapo, ila kuna mtu anataka kwenda Ulaya sasa hivi?
 
Back
Top Bottom