Raia wa mali wavamia ikulu na kumpiga raisi na kumchania nguo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raia wa mali wavamia ikulu na kumpiga raisi na kumchania nguo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by anin-gift, May 22, 2012.

 1. a

  anin-gift Senior Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Raia wenye hasira kali dhidi ya mambo yanavyoenda nchini mwao, wamevamia ikulu na kumshushia kipigo raisi wa mpito wa nchi hiyo kupinga kuongezwa kwa muda wa serikali hiyo uliodhaminiwa na ECOWAS. Habari zinasema wakati akishushiwa kipigo walinzi wake walikua wakitazama na vyanzo vingine vinasema waliua raia watatu. Katika hali ya kushangaza raia waliingia na baskeli na pikipiki zao ikulu na kuzipaki katika vyumba vya ikulu. Ililazimika raisi kukimbizwa hospitali na aliporuhusiwa ilibidi arudi nyumbani kwake na siyo ikulu tena na haijafahamika atarudi lini state house. SOURCE: Idhaa ya kiswahili ujerumani.
   
 2. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Ukitazama juu hilo haliwezekani, ila mwenzako akinyolewa wewe tia maji. Mali, corruption ndio imewafikisha pale walipo. Viongozi wametengeneza tatizo la mali. Ilikuwa mambo hayaendi kama humjui mtu. And you know what...wamevuna waliyopanda. Sisi wadanganyika bado tuko shambani tunapalilia mimea...tutakuja kuvuna lini, hilo siwezi kujua.
   
 3. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,384
  Likes Received: 8,505
  Trophy Points: 280
  kumbe ndio mana hata baba nanilihu hata ikulu ya nchi yake hatulii.mda wote anasafiri.nadhani anaogopa siku isije yakamtokea haya.:biggrin:
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hivi mbona sisi hatuwezi mambo hayo
   
 5. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ikulu kweli hiyo mmmh...?
   
Loading...