Raia wa Japan mfanyakazi wa Konoike akutwa amejinyonga

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
12512770_946857308745278_1156136296641295708_n.png


Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu mmoja Raia wa Japan aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Konoike inayoshughulika na mradi wa maji vijijini, amekutwa amejinyonga katika chumba cha kufanyia uchunguzi wa udongo, bila kuacha ujumbe wowote.

Jambo ambalo limeibua mshangao kwa wananchi wa Tabora na wafanyakazi wenzake.
 
.R.I.P... naona haya mambo ya kuleta wafungwa huku yaishe. Mikataba inapokaribia kuisha ndio matatizo yake sasa
 
Back
Top Bottom