Raia wa India wacheni ubaguzi wa Rangi muwapo ugenini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raia wa India wacheni ubaguzi wa Rangi muwapo ugenini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rich Dad, Aug 6, 2011.

1. Rich Dad

Rich Dad JF-Expert Member

#1
Aug 6, 2011
Joined: Dec 15, 2010
Messages: 741
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Huwa najiuliza nashindwa kuelewa confidence waliyonayo baadhi ya hawa raia wa India hata kufanya vitendo vya kibaguzi waziwazi bila hofu ya kuwapo ugenini.
Leo nimeingia duka moja la vitambaa kule posta ambako nilikuta utaratibu wa kuingia kwa card. Mwenye duka alikuwa kasimama mlangoni anataja kundi fulani labda namba moja hadi ishirini waingie.
Lakini cha ajabu utaratibu huu haukuwa consistency kwa watu wote, kwani customers wenye asili ya india na arabuni waliruhusiwa kuingia bila kadi au bila kufuata utaratibu wa card kwa mafungu ( batches).
Tulipomuhoji kwanini anakuwa mbaguzi alitujibu kwa kejeli ni duka yangu mnasemaje sasa. Tulimwambia tunatambua hilo, lakini hatujakwenda kuomba msaada...tuna pesa yetu kama walivyo wahindi wenzie. Na tumemshauri aweke kibao kwamba anahudumia raia wa india pekee, ili watu wengine wasitie mguu.

2. Gurta

Gurta JF-Expert Member

#2
Aug 6, 2011
Joined: Sep 17, 2010
Messages: 2,246
Likes Received: 60
Trophy Points: 145
Pole, ila ukipgwa shavu la kuume....

3. N

Ninaweza JF-Expert Member

#3
Aug 6, 2011
Joined: Dec 14, 2010
Messages: 7,165
Likes Received: 1,169
Trophy Points: 280
Taja jina la duka na mahali lilipo afu tugome kununua bidhaa zao, wenzetu hugoma kununua products kutoka taifa flan kama litakengeuka

4. B

Bukyanagandi JF-Expert Member

#4
Aug 6, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 7,534
Likes Received: 3,869
Trophy Points: 280

Pole sana kwa masahibu yaliyokupata, hakuna kitu kibaya duniani kama ubaguzi wa rangi na jamaa zetu hawa wahindi wana inbuilt trait ya kujiona ni bora zaidi - just a misguided/inflated view of superiority complex. Kwao majority ya raia ni maskini wa kutupwa wanatembea bare footed na kuishi kwenye nyumba zilizo hezekwa kwa nyasi au cardboard box, wakija kwetu sisi ndio tunawatajirisha kwa kuwachotea fedha zetu za hifadhi ya jamii na mabenki ndiyo kinawatia jeuri. Mimi binafsi niliwahi kukumbana nayo nikiwa masomoni Uingereza, siyo kutoka kwa wazungu bali ni wahindi walio hamia huko kutoka Uganda. Kisa chenyewe kilikuwa kama ifuatavyo: Nilikwenda dukani kwa mhindi kununua mkate na maziwa kwa bahati nzuri nilikuwa na wanafunzi wenzangu wazungu,nilimpatia muhindi fedha akazichukuwa kama kuninyanganya hivi huku amekasilika sana usoni, kaweka bidhaa zangu kwenye mfuko wa karatasi halafu badala ya kunipatia bidhaa zangu mkononi kahamua kunitupia bidhaa na change yangu chini! Kitendo hicho kilitukasilisha sana mimi na wenzangu, wakapiga simu polisi jamaa kakamatwa na kuwekwa ndani kwa muda, alafu kapewa kalipio kali..

5. Tumaini Jipya

Tumaini Jipya JF-Expert Member

#5
Aug 6, 2011
Joined: Jan 25, 2011
Messages: 380
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

duuuuuuuh,Mimi huyo angesababisha niwekwe ndani,ningemzaba vibao,ninaweza kuvumilia vitu vingiine lakini sio mtu kuutukana Utu wangu!!!

6. babuwaloliondo

babuwaloliondo JF-Expert Member

#6
Aug 6, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 378
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Ndugu pole sana na ubaguzi, mimi yamenikuta sana, kwa bahati nimeweza kuishi nchi nyingi katika kutafuta maisha, ninachoweza kusema ni hili.
"KUTOKANA NA MAUMBILE YETU, UBAGUZI HAUTAISHA".
Nilishakutana na ubaguzi kama huo tena mitaa ya katikati jiji kwenye hayo maduka ya wahindi.

Wakati nasoma, nilikuwa napenda sana kwenda gym za chuo, siku moja mzungu mj1 akipiga chuma akasahau kuweka pini kwenye plate, nilipomwambia ili zile chuma zisiniangukie maana mimi nilikuwa pembeni nafanya mazoezi ya biceps ilikuwa ugomvi mkubwa sana wa maneno ya kibaguzi.

Ubaguzi upo kila mahali na kila jamii ina aina fulani ya ubaguzi, hata sisi watanzania pia ni wabaguzi, tena sana tu, ukibaguliwa usibague.

7. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#7
Aug 6, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,074
Likes Received: 1,811
Trophy Points: 280

have you ever heard of PREMIUM SERVICES esp. for frequent buyers ... Ili kupasa uulize !!

8. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#8
Aug 6, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Wahindi koko hao

9. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#9
Aug 6, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,074
Likes Received: 1,811
Trophy Points: 280
Your talking as if watu wote walio JF ni weusi.. ifike kipindi mkubali wa tz wote sio weusi.. kuwa mweusi haina maana we ni m TZ mzawa ...

kauli yako hii itakuwa imekwaza members amabo sio rangi sawa na wewe ...!

10. Rich Dad

Rich Dad JF-Expert Member

#10
Aug 6, 2011
Joined: Dec 15, 2010
Messages: 741
Likes Received: 8
Trophy Points: 0

Nimeandika tulimuuliza hayo maswali na kauli yake ilikuwa ni ya dharau. Kwamba ni duka lake, so anaweza kuamua lolote alitakalo.
Nitajitahidi katika maisha yangu kuleta mageuzi kwa hili, ikiwezekana tupitishe act ya kutambua ubaguzi wa rangi unaoendelea nchini mwetu.

11. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#11
Aug 6, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,074
Likes Received: 1,811
Trophy Points: 280
Pole yalio kukuta ... lakini si raia wote wa kihindi wana ubaguzi... nimeishi na wahindi waislamu jamii ya Mashia... ni watu wazuri. tu.. ila kuna wale singa singa wenye kuvaa malemba.. wale wanavurugu kidogo...

12. Prodigal Son

Prodigal Son JF-Expert Member

#12
Aug 6, 2011
Joined: Dec 9, 2009
Messages: 963
Likes Received: 60
Trophy Points: 45
Pole saana mkuu

Hawa jamaa ni wabaguzi wa kutupwa, ndio maana mpaka kesho Nampongeza saana Idd Amin kwa kuwafukuza
Ipo siku naamini na tanzania tutapata viongozi watakaowaambia ukweli na kuwatimua werudi kwao.
mihindi mingi wanajifanya watanzania huku mifukoni wana pass za kusafiria za canada na Uk, i wish hii idara yetu ya uhamiaji isingekuwa imeoza

Ulitakiwa umtwange vibao naamini angekuwa na adabu na heshima

13. VoiceOfReason

VoiceOfReason JF-Expert Member

#13
Aug 6, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 5,234
Likes Received: 43
Trophy Points: 0
Biashara huria, kama hupendi customer service nakushauri usirudi hapo huende pengine.., nadhani ubaguzi haupo kwenye ngozi ya mtu bali tabia ya mtu.., nilikuwa UK kipindi fulani basi kwenda market kununua bidhaa akanivuta mtu wa Jamaica mmoja na akaniambia kwanini unanunua kwa mtu mweupe (akisema kwamba we blacks needs to stick together)... point yangu ni kwamba kuna watu weusi wabaguzi lakini hawajapata opportunity..

Hapa Tanzania tuna bahati watu sio wabaguzi wa sana lakini wabongo wana tabia ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe na kuwapapatikia wageni (wakidhani kwamba hapo ndio pesa ipo zaidi)

Na kukuweka sawa mkuu huenda huyo Mwindi ni Raia wa Tanzania kama wewe na Babu yake alizaliwa hapa na hajawahi kukanyaga India (so sio mgeni ni Mtanzania mwenzako)

14. Rich Dad

Rich Dad JF-Expert Member

#14
Aug 6, 2011
Joined: Dec 15, 2010
Messages: 741
Likes Received: 8
Trophy Points: 0

Ulichokiandika ni kweli si wahindi wote ni wabaguzi wa rangi, hii nimeishuhudia mwenyewe wakati naishi south africa. Wahindi wa kule ni open minded sana na hawaendekezi upuuzi. Labda ni kutokana na historia ya south africa kwani wao pia wame experience apartheid policy ya mkaburu.

15. Perry

Perry JF-Expert Member

#15
Aug 6, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
Dah!pole sana mkuu bt co wahindi wote ni wabaguzi,2nao kibao huku mtaani 2naish nao vzr 2.

Loading...