Raia wa Asia akamatwa na mil moja za bandia na bado anatesa

CHIEF MVUNGI

Member
Apr 6, 2012
99
14
Ni chief engineer wa Neptune Hotel iko Unguja,kawalipa vibaruapesa za bandia wameenda kutumia wengine wamepigwa na wananchi wenye hasira kali,walivyopelekwa polisi wakadai wamepewa na bwana huyo aliyetambulika kwa jina moja la Raju,chakushangaza jamaa jana kapelekwa polisi kalala huko na leo kaachiwa huru,ninavyosikia polisi wamepewa chochote na ndo basi kesi hakuna,sasa hawa hawakutaka kujua hata mtandao huo,hii ndo serikali inayonuka rushwa
 
Kama ni kweli basi serikali husika ipo likizo, ikirudi kazini huyo jamaa atakamatwa.
 
Back
Top Bottom