Raia tuchukue hatua kuzidi kushuka kwa shillingi

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
wadau naleta hoja jamvini ikibidi raia tuchukue hatua kwa kuzidi kuporomoka kwa shillingi yetu kila siku na hakuna hatua za madhubuti zinazochukuliwa na serikali yetu, leo dola 1 ni zaidi ya 1800/=Tshs.

Ifike wakati tuishinikize serikali ichukue hatua madhubuti na kuna hatua rahisi sana ambazo zinaweza chukuliwa mfano

1. Malipo yote yanayofanywa katika taasisi za serikali na zisizo za serikali yafanywe kwa fedha yetu ya madafu mfano wapangaji wote wa NSSF pale Mkapa tower walipe kwa Tshs, TCRA walipishe kwa Tshs, Bandari walipishe kwa Tshs na hata TRA nao walipishe kwa Tshs

2. Hoteli zote za ndani ya nchi zilazimishwe kuwatoza wateja wao kwa fedha zetu za madafu

3. manunuzi yote na malipo yote yanayofanyika humu ndani lazima yafanyike kwa Tshs

Kwani hata haya tunashindwa kuyafanya tunasubiri uingereza ituoe maelekezo ya ni cha kufanya?
 
Hiii Mkuu ni Hoja inayo mgusa kila Mtanzania ila cha ajabu tutakalia ya Lema na Police ingawa nayo yana sehemu yake lakini hili ni zito kubwa tena sana.

Kuongezeka kwa Dollar Mpaka 1820 Tsh = 1 USD hili ni tatizo kubwa na kwanini hawa wachmi wa Hazina na BOT wanatuambia ati uchumi wetu unapanda kivipi kwenye makaratasi au?

Tukiwaambia Tuandamane kupinga hili kwanini viongozi wetu wanazembea mpaka Dollar Inapanda sijui Police nao watasema sababu za kiintelligensia pia??

Nchi Imemshinda huyu babamkwe wangu kabisa hata siku mmoja haongelei hivi vitu vinavyo wagusa watanzania wengi tena kwa pamoja, Yeye na wenzake wakina pinda utakuta wao wanaongelea kilimo kwanza ambacho ni cha wakulima wachache huku wakulima wengi mpaka leo wanalima kwa Jembe la mkono sijui ni kilimo kwanza ya aina gani? wanapigia debe??

Kwanza Turekebisha uchumi wa hawa wananchi au wakulima wa kawaida wauzapao mazoa yao wapate faida na waweze kuingia kwenye huo mfumo wa kilomo kwanza huwezi kimbilia kilimo kwanza huku uchumi wa mkulima ni duni kupata power tila zao ni alot of shilling na teni its in Dollars hapo twaenda mbele huku twarudi nyuma tambo kumi this is outrageous jamani. ni kama vile serikali ina babaisha katika utawala au?
 
Mbona zambia walishaingia barabarani kwa mkate kupanda bei?ona sukari leo imefika 2500 tuko mkimya, inabidi tuanzishe mgogoro na watawala huko
 
wadau naleta hoja jamvini ikibidi raia tuchukue hatua kwa kuzidi kuporomoka kwa shillingi yetu kila siku na hakuna hatua za madhubuti zinazochukuliwa na serikali yetu, leo dola 1 ni zaidi ya 1800/=Tshs.

Ifike wakati tuishinikize serikali ichukue hatua madhubuti na kuna hatua rahisi sana ambazo zinaweza chukuliwa mfano

1. Malipo yote yanayofanywa katika taasisi za serikali na zisizo za serikali yafanywe kwa fedha yetu ya madafu mfano wapangaji wote wa NSSF pale Mkapa tower walipe kwa Tshs, TCRA walipishe kwa Tshs, Bandari walipishe kwa Tshs na hata TRA nao walipishe kwa Tshs

2. Hoteli zote za ndani ya nchi zilazimishwe kuwatoza wateja wao kwa fedha zetu za madafu

3. manunuzi yote na malipo yote yanayofanyika humu ndani lazima yafanyike kwa Tshs

Kwani hata haya tunashindwa kuyafanya tunasubiri uingereza ituoe maelekezo ya ni cha kufanya?
Kweli ni wakati wa wananchi wa kuchukua hatua lakini uliyoyapendekeza yote si ya kufanywa na wananchi. Unapendekeza tufanye nini sisi wananchi wa kawaida?
 
wakuu jaribuni kupita kwenye mtandao. mpaka sasa hivi inaonesha kuwa imeshuka mpaka 1760.40. Now.
 
Hiyo kushuka ni kwa muda tu. Wanaotaka dola wakijua hivyio wanakimbilia kwenda kuzinunua na demand inapanda kwa ghafla hivyo shilingi inazidi kuporomoka. Si ajabu mpaka mwisho wa soko leo itakuwa kule kule kwenye 1,800
 
..............tujifunze kwamba uwezo wa mkuu wa kaya unahusika sana kuliko kutegemea washauri ambao wakijua unapenda nini ndicho watakachoshauri! si ajabu wa kwetu anashauriwa asafiri sana ili aendane na kasi ya kushuka kwa shilingi yetu; kwani kasema nini toka shilingi yetu ipoteze mvuto? anapaaa! anapaaa! anapaaa!
 
wadau naleta hoja jamvini ikibidi raia tuchukue hatua kwa kuzidi kuporomoka kwa shillingi yetu kila siku na hakuna hatua za madhubuti zinazochukuliwa na serikali yetu, leo dola 1 ni zaidi ya 1800/=Tshs.

Ifike wakati tuishinikize serikali ichukue hatua madhubuti na kuna hatua rahisi sana ambazo zinaweza chukuliwa mfano

1. Malipo yote yanayofanywa katika taasisi za serikali na zisizo za serikali yafanywe kwa fedha yetu ya madafu mfano wapangaji wote wa NSSF pale Mkapa tower walipe kwa Tshs, TCRA walipishe kwa Tshs, Bandari walipishe kwa Tshs na hata TRA nao walipishe kwa Tshs

2. Hoteli zote za ndani ya nchi zilazimishwe kuwatoza wateja wao kwa fedha zetu za madafu

3. manunuzi yote na malipo yote yanayofanyika humu ndani lazima yafanyike kwa Tshs

Kwani hata haya tunashindwa kuyafanya tunasubiri uingereza ituoe maelekezo ya ni cha kufanya?

SHINGILI yetu ahaiwezi kusimama tena wakati Rais anatumia muda mwingi akiwa angani na kufanya shopping ulaya kumbuka inayotumika ni pesa yetu.Tunatoa dolla kwa malipo ya nje na tunapokea Sifuri kwa bidhaa zinazoingizwa nchini.
Kumbuka utawala wa Rais Mkapa aliacha AKIBA YA PESA HAZINA. Jk afyeka akiba yote sasa nakopa ndani na kwa kupiga mizinga mabenk ya ndani hili alipe mishahara.
 
wajumbe kudondoka kwa shs mimi ndio furaha yangu ila pole inayowazulu......naomba ishuke zaidi
 
Wanafunzi 600 wanaochukua shahada zao za kwanza za udaktari wa binadamu pale
International Medical and Technological University-Mbezi Beach,Dar es salaam
wapo katika mgomo wa kupinga kutozwa ada kwa dolla (4500 USD kwa mwaka) tangu August 22, 2011

Mpaka dakika hii serikali ya CCM haijatoa tamko,
mnafikiri thamani ya shilingi itapanda kama serikali imeshindwa kushughulikia jambo dogo kama hili?

Cha msingi ni kutafuta other way round na sio kutegemea serikali.
 
MI NADHANI hata wanajf tukiamua kwenda kwa rais kumuuliza tunatosha sijui kama tuko tayari ila rais kashindwa yaani hakuna golkepeer pale ikulu kuna shati tu
 
Hivi huyu mkweree huwa haangalii luninga akaona wenzie kama Obama wanavyoongoza nchi zao? Obama hachoki kwenda kuwasiliana na wapiga kura wake akiwaeleza jinsi jitihada zake za kuongeza ajira zinavyokwamishwa na congress. Sasa huyu wetu hata hatujui anafikiria nini juu ya swala la kuporomoka thamani ya shillingi ; kamuachia hiyo kazi Mkullo na Governor Ndullu ambae mambo yamemshinda hawezi hata kusimamia web site ya BOT iwe up to date!!
 
anabembeaga Jamaica, sidhani kama hata anajua kuwa leo dola moja ni sawa na buku bee

Eti ni kweli Kikwete alisomea uchumi pale Mlimani.? He seem to be an Amateur in Economics, labda ali-opt sana Mipasho
 
Back
Top Bottom