Raia Mwema: Kikwete na porojo za CCM kujivua gamba II; Ana mchezo mchafu kubagua kwa misingi ya Dini

Fitina zake anafikiri zinamsaidia!!!!??

Amewafitini akina SAS,SUMAYE...... na sasa akina Lowasa.

Yeye ni fitina tu.

Huku nimeona watu wanaandika vitu vitu na mammboo na mambo kuhusu Nyerere.

Sipendi kuyataja maana sio mambo mazuri.

Hawa watu wametumwa ili kumchonganisha Mwalimu na sisi Watanzania.

Sasa amefika pabaya mpaka anaanza kumugusa Mwalimu Nyerere??

Jamani tunajua ni fitina zake na tutapinga kwa nguvu zote Baba wa Taifa kuchafuliwa na Huyu Kilaza
 
Nimeshawahi kumsikia kikwete akiwaita viongozi wa RC kwa kuanza na baba Askofu! Labda huwa amejivua gamba la pwani. Halafu siku akimtaja Nyerere analivaa tena... Kaazi kwelikweli.
 
story yote ni porojo tupu

Kusema kwamba story yote hii ni porojo tupu ni understatement. Hii story ni inflammatory na ina nia ya kuvuruga amani na mahusiano mema miongoni mwa waumini wa kweli wa dini hizi ambao wanaishi kwa maridhiano, kuoleana na kwa kushirikiana na kila kitu.

Kama mafisadi au watetezi wao wanadhani wataweza kujinasua katika lawama na kashfa zinazowakabili kwa kutumia turufu ya udini wanajidanganya kwa sababu wale waliomchagua Kikwete kwa misingi ya sifa yake (wakristo kwa waislamu) hawatakubali kugombanishwa. Sisi watanzania tutaingia katika uchaguzi ujao tukiangalia sifa halisi za urais, uadilifu ikiwa ni kigezo cha kwanza, baada ya kushuhudia vitendo vya hujuma na ufilisi uliofanywa kwa hazina na rasilimali zenu na wahusika wakuu ni hawa ambao wanakimbilia kujifinya nyuma ya dini au madhehebu yao. Tutawasaka na kuwabaini huko waliko maana wanapoiba hawali na waumini wenzao. Hatutakubali propaganda zitusahaulishe machungu na madonda waliyotupatia majahili hawa. Wakati mmoja Rostam alijaribu kutumia gazeti la Al-Huda kudai kwamba kuna vita dhidi ya waislamu, wakati kwetu sisi yeye ni mhalifu ambaye imani yake (kama anayo) haituondolei hasira zetu dhidi ya vitendo vyake viovu kwa nchi yetu na vizazi vyake.
 
I hate this tread, it uses very long sentenses for no reasons... Nobody has a time to go through these long sentenses....
 
Cjawahi kuona mwandishi mpumbavu kama huyu! i doubt his education level!!!!! Anatangaza KUJIVUA GAMBA ni udini wa KIKWETE!!!Then MAKAMBA as a muslim ameachia post! Still mwandishi anadai KIKWETE hawataki LOWASA,CHENGE& ROSTAM AZIZ Who is a muslim i gues!!!Nadhani mwandishi anajchanganya tu na kujitahid kuvuruga akili za watanzania,.Ni vema ajifundishe kujaji kwa kutumia his Head and not his feelingz.its ok kanisa is against waislam wote wanaojielewa but kikwete apewe haki yake,,,anayo yafanya ni makubwa kwa Taifa hili ila Dini yake inapelekea kanisa limchukie na kufanya propaganda against him.
LASTLY! the cake of the NATION Should be shared by all Tanzanians regardless their religious groups.However,Nyerere is a died body who couldnt do better thngs in his days,He,s helpless& meaningless now,amechangia vya kutosha kudidimiza maendeleo ya taifa hili,so plz all of u,we can make tanzania reach only if tutaachana na mawazo duni ya kumtajataja nyerere, lets look foward.ww mdini jikate
 
Kwa lipi alilofanyia mpaka awe na nguvu ya kutuchagulia rais
yeye mwenyewe nchi imeshamshinda ana mvuto na uchaguzi
uliopita si alishindwa sasa mtu aliyeshindwa anawezaje
kutuchagulia mtu, kwa sasa watu wameamka kuliko mwaka
jana na uhukika uchaguzi ukifanyika leo hii na akigombea na
yule kijana wa kwenye gazeti la mwana halisi aliyemwambi
kama nchi imemshinda ampe aongoze atamshinda kwa kura nyingi
yule dogo sembuse alete magarasa yake yeye mwenyewe kashachoka

nyerere alisema ukiona mtu ana kimbilia ikullu mwogope kama ukoma sasa ?

Sumaye akasema ukikoona mtu anawachafua wenzake kwa kutumia magazeti
akisha akisha ingia ikulu atamaliza wenzake ka risasi sasa mnaona amna macho?

Tusubiri tutaona mengi huku ikulu kuna nini mbona wanatoa roho kuna biashara
gani ikulu wale tausi siku hizi hata awapo wameuzwa?

Mwalimu alisema bila ccm imara nchi itayumba sasa?

Akasema cha maendeleo chadema ni chama makini sasa ?

Akasema chadema kinaweza kuchukua nchi na kuongoza sasa ?

Yale yote aliyoongea mwalimu sasa yanatimia, sasa ???????
 
Naomba Redet waje na data zao za kupika kuhusu umaarufu wa kikwete
Mwaka mmoja baada ya kuchaguliwa na tume ya uchaguzi
. Hapa napita tu sioni point ya kuchangia
 
Back
Top Bottom