T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,650
- 34,927
Mimi nimepinga huo mfano wa panya road. Huwezi toa mfano ambao hauendani kabisa, ukiambiwa sio unakomaa eti ni mfano tu.Panya road ni kama mfano tu wa matukio ya kihalifu yaliyokuwa yanaendelea katika jamii yetu ya huku Dar.
Kuna ujambazi pamoja na tatizo la drugs...
Hata kwenye material things kuna prototype na type, huwezi pewa tenda ya helicopter wewe ukatengeneza kifaru ukawaambia si ni mfano tu.
Now twendelee na usalama wa taifa. Ila sio babu yako mkulima wa mahindi, hapa tuwaseme TISS, MOSSAD, FSB, CIA, ISI, MI6, etc.