Raia 170 walio Sudani, Serikali itawatoa huko?

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
69,361
94,539
Wiki iliyopita Waziri wa NJE, Dr.Tax alisema Raia wa Kitanzania walio Sudani ni 170 na wako katika hali nzuri, mawasiliano yanaendelea.

Tumeona nchi kadhaa zimeshindwa ondoa Raia wake sababu hakuna Mawasiliano ya Ndege, Viwanja vya Ndege vimeharibiwa.

Tumeona Saudi Arabia aliamua kutumia Meli kuokoa watu kutoka nchi

India, Pakstan, Tunisia, Qatar, UAE, Syria etc

Marekani alipeleka Ndege za Kijeshi 8 na amefanikiwa ondoa Wafanyakazi wa Ubalozi na Familia zao, amefunga Ubalozi kwa shughuli zote za Kiraia kasoro Dharura tu ( Haijatajwa zipi ila haruhusiwi mtu kusogelea pale, na huenda ndege 8 zilipeleka wanajeshi na vifaa, chakula kwa kuilinda Ubalozi wao)

Japan na France wamepewa ruhusa ya pande zote kwenda chukua Raia wao, huku Japan ikiandaa wanajeshi 170 kwenda saidia okoa watu.

Mashirika kadhaa yametumia muda huu wa Masaa 72 kwenda okoa watu wao kwa magari.

Marekani imesema inaanda mpango na washirika wake ili waende kuondoa Raia wote wa Marekani na washirika wapatao 20,000

Je Tanzania tuna mpango gani kuwaokoa Watanzania wenzetu?
Je tutawaokoa au ndo yale yale ya Ukraine, kila mtuajitafute?
 
Labda serikali imejiandaa kutupa idadi ya vifo vya raia
 
Mataifa makubwa yakipewa nafasi ya kuchukuwa watu wao nao Tz wapenye na Air Tz kuwaokoa Watanzania.
Kaka unafikiri kuingia uwanja wa vita ni kama kuingia msalani eti. Yakupasa utumie technique ya hali ya juuu kuokoa watu wako waliopo uwanja wa medani ama sivyo unaweza undiwa trap na mmoja wa kundi linalopigana ili adui yake akuone kama unashambulia kumbe lengo la aliyekuweka mtego atume lawama jumuiya za kimataifa za war crime against adui yake. Kuwa makini bro
 
Spain kwa kutumia jeshi lake limefanikiwa ondoa watu wote wa Ubalozi na familia zao

Canada naye yuko Djibout anaelekea Sudan kuchukua watu wake

Nchi kadhaa zimejiandaa kijeshi kuingia Sudani na kuchukua watu wa ubalozi kwanza kabla ya kuanza mchakato wa Raia
 
Back
Top Bottom