Rai ya Jenerali: Waziri mkuu asiye waziri mkuu, serikali iliyobinafsishwa - hatuendi kokote

Huyu Mzee ndio maana Mkapa alitaka amrudishe kwao Burundi :shut-mouth:

Teh Teh Teh
 
Tanzania ni nchi ya kusikitikia sana. Ni nchi yenye,
- Rais asiye Rais. Hajui yanayotendeka nchini mwake.
- Waziri mkuu asiye waziri mkuu. Hana mamlaka ya kuwasimamia mawaziri,
- CAG asiye CAG. Taarifa zake hazina maana kwa Kikwete,
- Pia tuna MAKAMU WA RAIS asiye MAKAMU WA RAIS. Kazi yake ni kukata utepe wa majengo na kufungua makongamano.
- Kamati za Bunge zisizo kamati za Bunge. Mawaziri wa JK wanazipuuza.
Kumbe ukisikia serikali kivuli ndiyo hii hasa, ya JK.
Aisee acha kusema ukweli usio na ukweli yaani yule dr wa chemicali kazi yake kufungua majengo?
 
Kamanda ulimwengu umegonga palepale..hata palipokuwa na ngome kubwa ya MAGAMBA yaani usukumani kwetu wako makini
wakifuatilia huyu fisi mlafi anayefuata nyayo za simba!!!kwa wenzetu ulaya kabla ya report za akina CAG watu huachia ngazi
kukwepa lawama na fedheha.things are quite different hapa.kuonyesha PM anaumuhimu gani prezdaa KABILA kampa uwaziri mkuu
na uwaziri wa fedha jamaa anayependwa na kuheshimika sana hapa CONGO.Yote hii ni kudhibiti ujinga na upuuzi wamambo anaoutaja
ulimwengu.shukrani ulimwengu kwa kuwa mzalendo wa kweli.
 
Back
Top Bottom