RAI: Rais Magufuli ateue Jaji Mkuu haraka

yusuphmarcogaga

Senior Member
Jan 5, 2014
145
162
Wana jf na Watanzania;

Nawaza kwa sauti. Tuwaombe walio karibu na rais Magufuli wamshauri ateue jaji mkuu badala ya kukaimisha kama ilivo ivi sasa.

Wana jamii napendekeza mijadala mingi izidi kuelekezwa kwa rais kumsihi ateue jaji mkuu kwa mujibu wa katiba kwani wanatanzania hatujui kinachokwamisha zoezi hili la kiutendaji tunakubali kwamba hatumpangii cha kufanya lakini tunaweza kushauri au kutoa maoni.

Najaribu tu kufikir kwamba rais anapaswa kuipa uhuru mahakama kuliko kuendelea kutunza uhuru wa mahakama ikulu

Nawasilisha.
 
Ombeni mtapewa

Tafuteni mtapata

Ikishindikana kabisa

Gongeni gongeni

Mwisho wa siku atawafungulia

Mwichoke,

Umoja ni ushindi
 
Back
Top Bottom