Rai kwa wamiliki wa bar na hotel/ restaurant Dar es Salaam: Wahudumu wenu wanawaharibia biashara

bablai2020

Senior Member
Sep 5, 2020
149
373
Naamini my wazima wa afya licha ya changamoto zinazotukabili kama taifa.Niende kwenye mada yangu, imekuwa ni desturi ukienda kuhudumiwa kwenye bar au migahawa ya hapa dsm wateja huongezewa bei ya vitu wahudumu hufanya hivyo haswa sehemu ambazo menu haziko mezani.

Unaweza agiza kitu bila kufahamu ukalipia gharama ambayo sio halisi kuna sehemu nilishawahi kwenda nikaagiza bavari mwishoni nikaletewa bili ya sh 4000. nikamuuliiza hapa niko white sands au bar ya mtaani nikampa bei halisi ya kinywaji nikamwambia we ndio mgeni mimi hapa wa kila siku.

Sasa nawaomba wamiliki mjitahidi kuweka menu au kama ndio mbinu ya kujilipa mtuambie tulishawahi kwenda kula break point ya posta, wahudumu wanakudaka juu kwa juu kumbe wanawahi vichwa.

Msipokuwa makini mnaletewa bili iliyoengezwa hata buku tano mnabaki kulaumu sehemu fulani vitu vyao bei ghali kumbe wahudumu wanafany yao. Maisha magumu jamani tusichukuliane poa. Acha mimi niridhike na huduma yako nikuachie na sio kuniibia.
 
Serkali ukusaidie kulipia bia ipo siku utasema serkali ikusaidie kukugegedea
Kuna mwanetu humu aliomba sirikali iingilie kati ili apate haki yake ya kugegeda.

Nowdays ni msanii,na ana album kabisa
 
Back
Top Bottom