Rai: Chama cha Walimu(CWT) kimkatie Rufaa Mwalimu aliyehukumiwa kunyongwa

Zingatia->
  • First-degree murder: any intentional murder that is willful and premeditated with malice aforethought. Felony murder, a charge that may be filed against a defendant who is involved in a dangerous crime where a death results from the crime,[71] is typically first-degree.[72]
  • Second-degree murder: any intentional murder with malice aforethought, but is not premeditated or planned in advance. [73]
  • Voluntary manslaughter: sometimes called a crime of passion murder, is any intentional killing that involves no prior intent to kill, and which was committed under such circumstances that would "cause a reasonable person to become emotionally or mentally disturbed". Both this and second-degree murder are committed on the spot under a spur-of-the-moment choice, but the two differ in the magnitude of the circumstances surrounding the crime. For example, a bar fight that results in death would ordinarily constitute second-degree murder. If that same bar fight stemmed from a discovery of infidelity, however, it may be mitigated to voluntary manslaughter.[74]
  • Involuntary manslaughter: a killing that stems from a lack of intention to cause death but involving an intentional or negligent act leading to death. A drunk driving–related death is typically involuntary manslaughter (see also vehicular homicide, causing death by dangerous driving, gross negligence manslaughter andcausing death by criminal negligencefor international equivalents). Note that the "unintentional" element here refers to the lack of intent to bring about the death. All three crimes above feature an intent to kill, whereas involuntary manslaughter is "unintentional", because the killer did not intend for a death to result from their intentional actions. If there is a presence of intention it relates only to the intent to cause a violent act which brings about the death, but not an intention to bring about the death itself.[75]
 
police akiua ni ajali kazini, alikua anajitetea ......... mwalimu akiua akiwa kazini Murder, muuaji, anyongwe. Hivi haki ya kuua ipo kwa wachache tu?
 
Nahisi hukumu ya mwalimu ni involuntarily manslaughter.Mwalimu hajakusudia kuua.Tenda haki tusisukumwe na mihemuko.
involuntary manslaughter is "unintentional", because the killer did not intend for a death to result from their intentional actions. If there is a presence of intention it relates only to the intent to cause a violent act which brings about the death, but not an intention to bring about the death itself.
 
Yule mwalimu ni muuaji kama wauaji wengine adhabu aliopewa haitoshi....alistahili awe anachapwa viboko vinne(4) asubuhi,mchana na jioni na kazi nzito mpaka ziku ya kunyongwa.....hawa akina GENTAMYCINE wapo wengi sana wamebahatika kusoma na kuandika lakini hawakuwahi kukaa darasani...kusoma sio adhabu!ladba tu tungetaka kujua huyo mwalimu kwa nini alikuwa nje ya ofisi wakati wa kazi?kwa nini mwalimu wa nidhamu hakumwadhibu huyo mwalimu wa kike ambaye mpaka sasa anaonekana kuwa ni mtoro ?Marehemu alikuwepo shuleni na huyo mlevi mnayemwita mwalimu wa nidhamu alilijua hilo ...kwa nini aliadhibiwa kama mwizi kabla ya kujiridhisha kwamba alikuwa na kosa?
 
Naamini wenye busara akiwepo rais magu atamtoa. Trust me

Kimaono, hastahili kunyongwa, ila adhabu nyingne Kali. Hakuua kwa kukusudia, Alisa babisha kifo. Ni vitu viwili tofaut
Akimtoa au kupunguza Adhabu watakuja vijana wa ufipa watakwambia kanda pendwa mara anatetea wauaji hahahahahahah.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Tofautisha police na mwalimu kwanza ndugu. Polis anapambana na wenye silaha wenzake au wanaohatarisha usalama.

Mwalimu anapambana na Nini?

Dogo ilitosha kumchapa fimbo Kama 4 au 5 tu sio kumshambulia as if ni mhalifu.
police akiua ni ajali kazini, alikua anajitetea ......... mwalimu akiua akiwa kazini Murder, muuaji, anyongwe. Hivi haki ya kuua ipo kwa wachache tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio utajua hivyo vinavyoitwa vyama vya wafanyakazi vipo vipo tu
Watumishi hawaongezewi mishahara, kimya
Watumishi hawapandi madaraja kimya
Watumishi hawalipwi hela za uhamisho, kimya
Watumishi wakipatwa na matatizo mazito, wanatafuta pa kujifichia
Watumishi wakiondolewa kazini kiholela, kimya, mpaka wakina mbunge msukuma wakawatetee bungeni,
Ila nyakati za shwari, leteni michango, leteni michango. Hahahahahaaaa

Nadhani mleta mada umepitwa na ule usemi usemao "kila mchuma janga hula na wakwao" hapo ni yeye na nduguze, hakuna cha cwt wala shoga yake cwt atakaejitokeza kumsaidia.
 
sijui kama mna watoto?

au mnaweza kuwa ni wagumba yawezekana

kumpiga mwanafunzi sio kosa,unaweza mchapa mwanafunzi fimbo moja na akafa pia.

ila jiulizeni yule alipigwaje? kuna sehemu unaruhusiwa kupiga kwa ukuni? unaruhusiwa kupiga kichwani? unapiga hadi mwanafunzi anazimia na bado unapiga?

hamna watoto nyie

nakama mnao mtakuwa walimu wa ovyo ovyo

si alipenda kujionesha ye ni mwanaume acha apambane na hali yake.
 
sijui kama mna watoto?

au mnaweza kuwa ni wagumba yawezekana

kumpiga mwanafunzi sio kosa,unaweza mchapa mwanafunzi fimbo moja na akafa pia.

ila jiulizeni yule alipigwaje? kuna sehemu unaruhusiwa kupiga kwa ukuni? unaruhusiwa kupiga kichwani? unapiga hadi mwanafunzi anazimia na bado unapiga?

hamna watoto nyie

nakama mnao mtakuwa walimu wa ovyo ovyo

si alipenda kujionesha ye ni mwanaume acha apambane na hali yake.
Watu jamii ya mtoa mada ni wakatili sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio utajua hivyo vinavyoitwa vyama vya wafanyakazi vipo vipo tu
Watumishi hawaongezewi mishahara, kimya
Watumishi hawapandi madaraja kimya
Watumishi hawalipwi hela za uhamisho, kimya
Watumishi wakipatwa na matatizo mazito, wanatafuta pa kujifichia
Watumishi wakiondolewa kazini kiholela, kimya, mpaka wakina mbunge msukuma wakawatetee bungeni,
Ila nyakati za shwari, leteni michango, leteni michango. Hahahahahaaaa

Nadhani mleta mada umepitwa na ule usemi usemao "kila mchuma janga hula na wakwao" hapo ni yeye na nduguze, hakuna cha cwt wala shoga yake cwt atakaejitokeza kumsaidia.
Mkuu umenena haswa ila yapaswa pia kumuonea huruma kupitia michango ambayo walimu wanachanga kila kukicha basi watafute wakili wa kumsaidia mwalimu yule. Mwalimu alitoa adhabu akiwa kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom