Rai: Chama cha Walimu(CWT) kimkatie Rufaa Mwalimu aliyehukumiwa kunyongwa

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,834
2,000
Hivi karibuni katika mahakama ya juu mkoani kagera iliamuliwa mwalimu alieua kwa kuchapa bakora anyongwe mpaka afe, adhabu hii naiona ni kubwa sana na itafanya morali ya ufundishaji kwa walimu kushuka.

CWT kimtetee katika basis ya kwamba mwalimu alikuwa kazini hivyo alitoa adhabu kama mwalimu na sio mhalifu.

Anapohukumiwa kunyongwa sawa na mtu ambae ameua kwa ujambazi ni uonevu na pia huyo mtoto hakuwa na cheti cha ugonjwa kwamba asichapwe. Na suala la kusema kuwa hakuiba pochi hilo lilikuja baadae baada ya kijana kuchapwa.

Kwa hali hii sisi tuliosoma shule za Makongo na Jitegemee enzi hizo tena tunapigwa na wanajeshi bakora mpaka unashindwa kukaa basi wangefungwa sana. Mtu anaweza kufa hata kwa kupewa adhabu ya magoti tu pale mbele ya darasa je mwalimu pia anyongwe? Tusifanye kazi ya ualimu ikawa adhabu.

GENTAMYCINE amesema sasa ndio wanafunzi watavutia bangi darasani na kufanya mapenzi ofisini kwa head teacher maana kila mtu anaogopa kunyongwa. Tafadhali hukumu ya mwalimu yule ifanyiwe rejeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,457
2,000
Ili iweje? "Ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga"
Hapana.Namuonea huruma sana yule mwalimu.Sijui alipatwa na jini kisirani?Halafu,kumnyonga hadi afe hakuwezi kumfufua yule mtoto.Apewe adhabu yenye funzo.Bado siamini katika piga nikupige au jino kwa jino.Ni wakati sasa wa wapigania haki za binadamu kukaza uzi sheria hii mbaya ya kunyonga ifutwe.
 
Nov 15, 2018
49
125
Hivi karibuni katika mahakama ya juu mkoani kagera iliamuliwa mwalimu alieua kwa kuchapa bakora anyongwe mpaka afe, adhabu hii naiona ni kubwa sana na itafanya morali ya ufundishaji kwa walimu kushuka. CWT kimtetee katika basis ya kwamba mwalimu alikua kazini hivyo alikua akitoa adhabu kama mwalimu na sio mhalifu. Anapohukumiwa kunyongwa sawa na mtu ambae ameua kwa ujambazi ni uonevu na pia huyo mtoto hakua na cheti cha ugonjwa kwamba asichapwe. Na suala la kusema kuwa hakuiba pochi hilo lilikuja baadae baada ya kijana kuchapwa. Kwa hali hii sisi tuliosoma shule za makongo na jitegemee enzi hizo tena tunapigwa na wanajeshi bakora mpk unashindwa kukaa basi wangefungwa sana. Mtu aeza kufa hata kwa kupewa adhabu ya magoti tu pale mbele ya darasa je mwalimu pia anyongwe? Tusifanye kazi ya ualimu ikawa adhabu. GENTAMYCINE amesema sasa ndio wanafunzi watavutia bangi darasani na kufanya mapenzi ofisini kwa head teacher maana kila mtu anaogopa kunyongwa. Tafadhali hukumu ya mwalimu yule ifanyiwe rejeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mim nahisi Chama cha walimu Tz hakina meno yakwamba kinaweza msaidia mwalimu kuondokana na case ya murder nakwenda manslaughter.
Nahisi Chama nichepesi kukusanya michango ya walimu kuliko kutetea walimu.
Zaidi watakuambia tumekaa na serikali tumejadili kuhusu madaraja,na stahiki za walimu.
Mungu tu amtetee au Advocate moja ajitolee kukata rufaa ili angalau apunguziwe adhabu.

Cain aliuwa kwa kukusudia na Mungu akamlaini,ila alilia sana na kujuta maana nae angeuliwa na yoyote ambae angemkuta njiani,Ila Huruma ya Mungu ilizidi juu yake had Mtakatifu Mungu akamwekea alama kwenye paji LA USO ili atakaemuona asimuue.
Mtakatifu Mungu ni Mungu wa Rehema

Sasa kama mungu tu alieza kumponya mtu alieondosha uumbaji wake bila ridhaa. Sie ni nani tuwe na hasira kiasi hiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sirmweli

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
1,415
1,500
Hivi karibuni katika mahakama ya juu mkoani kagera iliamuliwa mwalimu alieua kwa kuchapa bakora anyongwe mpaka afe, adhabu hii naiona ni kubwa sana na itafanya morali ya ufundishaji kwa walimu kushuka. CWT kimtetee katika basis ya kwamba mwalimu alikua kazini hivyo alikua akitoa adhabu kama mwalimu na sio mhalifu. Anapohukumiwa kunyongwa sawa na mtu ambae ameua kwa ujambazi ni uonevu na pia huyo mtoto hakua na cheti cha ugonjwa kwamba asichapwe. Na suala la kusema kuwa hakuiba pochi hilo lilikuja baadae baada ya kijana kuchapwa. Kwa hali hii sisi tuliosoma shule za makongo na jitegemee enzi hizo tena tunapigwa na wanajeshi bakora mpk unashindwa kukaa basi wangefungwa sana. Mtu aeza kufa hata kwa kupewa adhabu ya magoti tu pale mbele ya darasa je mwalimu pia anyongwe? Tusifanye kazi ya ualimu ikawa adhabu. GENTAMYCINE amesema sasa ndio wanafunzi watavutia bangi darasani na kufanya mapenzi ofisini kwa head teacher maana kila mtu anaogopa kunyongwa. Tafadhali hukumu ya mwalimu yule ifanyiwe rejeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga. Kumchapa mwanafunzi fimbo zaidi ya NNE ni kuvunja sheria na kukusudia kuua. Naipongeza mahakama kwa kumpa mwalimu mhalifu adhabu Kali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom