Rai: Chagueni viongozi wasiopenda kujimwambafai na tamaa ya madaraka

comrade wetu

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
964
605
Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotegemewa kufanyika mwezi wa Novemba,wananchi nawaomba sana mchague viongozi wasiopenda kujikweza na kujimwambafai bali fikiria zaidi maendeleo, kiongozi anaeheshimu sheria na katiba maana ndio dira ya maendeleo ya kweli,aidha chagueni viongozi wasio na uroho wa madaraka chagueni viongozi wenye nia ya kweli ili hatimaye yapatikane maendeleo ya kweli katika maeneo yenu
 
JK ameshawaambia kama mna maoni semeni msitumie migongo ya wengine .

umetoa ushauri mzuri lakini umekosea hapo tu
 
Back
Top Bottom